TANZANIA YASAINI MAKUBALIANO NA UINGEREZA YA KUKOMESHA NDOA ZA UTOTONI NA UKEKETAJI KWA WATOTO KIKE
Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Bi Sophia Simba (katikati) akisaini makubaliano ya pamoja baina ya Tanzania na Uingereza ya kukomesha ndoa za utotoni na ukeketaji wa watoto wa kike. kutoka kushoto ni Kamishna Mkuu wa Uingereza nchini,Bi.Dianna Melrose kulia ni Mwakilishi wa UNFPA,Dr.Natalia Kanem, leo katika ofisi za Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog07 Feb
Tamko la pamoja kwa siku ya kimataifa ya kukomesha ukeketaji dhidi ya wa watoto wa kike
UNFPA, UNICEF, Shirikisho la Kimataifa la Wakunga na Shirikisho la Kimataifa la Magonjwa ya Wanawake na Uzazi.
Wito kwa wafanyakazi wa afya duniani kote ili kuhamasisha kukomesha ukeketaji
Kwa mwaka 2015, ujumbe wa kimataifa wa siku ya kupinga ukeketaji umewalenga wahudumu wa afya; “Uhamasishaji na ushirikishwaji wa wafanyakazi wa Afya ili kuharakisha kutokomeza ukeketaji”. Na hii ni kwa sababu asilimia 34 ya ukeketaji duniani hufanywa na wahudumu wa afya.
Pamoja na ujumbe huu mahsusi kwa...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/10945033_856755441041229_6165141623154796543_o.jpg)
TAMKO LA PAMOJA KWA SIKU YA KIMATAIFA YA KUKOMESHA UKEKETAJI DHIDI YA WA WATOTO WA KIKE
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Mkutano kukomesha ndoa za utotoni
10 years ago
Tanzania Daima11 Sep
Jamii iungane kukomesha ndoa za utotoni
UMASIKINI na ukosefu wa elimu juu ya ukatili wa kijinsia miongoni mwa wanajamii ni miomgoni mwa sababu inayochangia watoto wadogo kukumbana na ndoa za utotoni. Pia tatizo hilo linachangiwa na...
10 years ago
Dewji Blog12 Mar
Shirika la WOWAP lawafunda vijana Singida kukabiliana na ukeketaji kwa watoto wa kike
Mratibu wa mradi wa kutokomeza ukeketaji kwa njia ya majadiliano mkoa wa Singida, Zuhura Karya, akihamasisha wanavikundi wa vijana na wanawake kata ya Sepuka jimbo la Singida magharibi kuongeza juhudi katika kupambana na vitendo vya ukeketaji kwa watoto wa kike. Kwa mujibu wa mratibu Karya, kwa sasa hali ni mbaya zaidi kwa vile vitoto vichanga vinakeketwa kwa kucha.
Baadhi ya wanavikundi wa wanawake wa kata ya Sepuka jimbo la Singida magharibi,wakifuatilia elimu juu ya madhara yatokanayo...
10 years ago
BBCSwahili10 Feb
Tanzania yasaini hati ya makubaliano
11 years ago
BBCSwahili30 May
Kampeini kukomesha ndoa za watoto Afrika
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
Viongozi wa serikali za mitaa wanapaswa kulinda watoto dhidi ya ndoa za utotoni (2)
WIKI iliyopita katika tafakuri yetu hii, tulianza kujadili matokeo ya kukithiri kwa mimba za utotoni kama janga la kitaifa ambalo linasababishwa na kuwepo kwa mifumo ya kiutawala ambayo haijali na kuzingatia...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-RvNLxSBXIFc/VDlLyZUqDOI/AAAAAAADJWY/KLG7L51fHig/s72-c/Anna%2BMarcus%2Bof%2BBTS-%2Bpic%2Bby%2BF%2BMacha%2B2014.jpg)
ADHA YA UKEKETAJI TANZANIA KUJADILIWA NA WABUNGE UINGEREZA
![](http://1.bp.blogspot.com/-RvNLxSBXIFc/VDlLyZUqDOI/AAAAAAADJWY/KLG7L51fHig/s1600/Anna%2BMarcus%2Bof%2BBTS-%2Bpic%2Bby%2BF%2BMacha%2B2014.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/--ZCNixsFyxs/VDlL2T_0aII/AAAAAAADJXI/ObQebd9fUDg/s1600/cape%2Band%2BAnne%2BMarie%2B-%2Bpic%2Bby%2BF%2BMacha%2B2014.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-j3du32tnQ1A/VDlLy04hYMI/AAAAAAADJWc/er1imIBnrmY/s1600/Janet%2BChapman%2Band%2BJonathan%2BPace%2Bof%2BTDTF-%2Bpic%2Bby%2BF%2BMacha%2B2014.jpg)