ADHA YA UKEKETAJI TANZANIA KUJADILIWA NA WABUNGE UINGEREZA
![](http://1.bp.blogspot.com/-RvNLxSBXIFc/VDlLyZUqDOI/AAAAAAADJWY/KLG7L51fHig/s72-c/Anna%2BMarcus%2Bof%2BBTS-%2Bpic%2Bby%2BF%2BMacha%2B2014.jpg)
Anna Marcus, wa Jumuiya ya Uingereza na Tanzania (BTs) akishangilia bendera za Tanzania.
Mwanasaikolojia, mtafiti na mtetezi wa haki za waliokeketwa, Anne-Marie Wilson(kulia kabisa) akijadiliana na wanachama wengine wa Jumuiya ya Uingereza na Tanzania (BTs), ukumbi wa Central Hall, Westminster baada ya hotuba yake. Alisisitiza kila sekunde kumi , msichana fulani hukeketwa ulimwenguni. Kati kati ni mweka hazina wa BTs, Bw. Robert Gibson na Jonathan Cape, mwendeshaji wa hafla.
Janet Chapman &...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-tEMpU1ssNco/VDjKnbkAVqI/AAAAAAAGpFA/qxgN7bmRnIA/s72-c/TANZANIA-%2BFGM.jpg)
ADHA YA UKEKETAJI TANZANIA KUJADILIWA NA WABUNGE UINGEREZA
Jumatano ijayo tarehe 15 Oktoba, 2014...kundi la kina mama watatu akiwemo Mtanzania litashiriki jopo la ukeketaji na Wabunge, London, Uingereza.
Mtanzania, Rhobi Samwelly, mama wa watoto wanne, ni mzawa wa Butiama, Mara. Wenzake ni Comfort Momoh, toka Nigeria, anayetibu wanawake waliokeketwa hospitali mbili za Guy’s na St Thomas, London na Ann-Marie Wilson mkurugenzi wa “28 Too Many.” Shirika hili lenye tovuti yenye http://28toomany.org/ ni maktaba kubwa yenye habari, picha,...
10 years ago
MichuziTANZANIA YASAINI MAKUBALIANO NA UINGEREZA YA KUKOMESHA NDOA ZA UTOTONI NA UKEKETAJI KWA WATOTO KIKE
10 years ago
Habarileo09 Jul
Kiinua mgongo cha wabunge kujadiliwa leo
KATIKA jitihada za kuhakikisha wabunge wa CCM na wachache wa upinzani walioko bungeni wanamsikiliza Rais Jakaya Kikwete akihutubia Bunge leo, Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai amelazimika kuliahirisha hadi leo asubuhi kujadili suala la kiinua mgongo chao.
11 years ago
BBCSwahili06 Feb
Ukeketaji wahamishiwa Uingereza
10 years ago
BBCSwahili14 Mar
Ukeketaji Uingereza:Polisi walaumiwa
10 years ago
Mwananchi26 Oct
Jopo la wabunge na wataalamu london laonyesha matumaini kutokomeza ukeketaji duniani
9 years ago
MichuziBALOZI WA UINGEREZA NCHINI AONGOZA UZINDUZI WA FILAMU YA KUPINGA UKEKETAJI YA SIMULIZI HALISI YA GHATI NA RHOBI
11 years ago
BBCSwahili18 Dec
Tanzania: 12 mahakamani kwa ukeketaji