BALOZI WA UINGEREZA NCHINI AONGOZA UZINDUZI WA FILAMU YA KUPINGA UKEKETAJI YA SIMULIZI HALISI YA GHATI NA RHOBI
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Dianna Melrose (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Jukwaa la Utu wa Mtoto (CDF), Koshuma Mtengeti (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Wanawake wa Afya, Utafiti na Maendeleo (Forward), Naana Otoo-Oyortey MBE, wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa Filamu ya Simulizi halisi ya Ghati na Rhobi ulifanyika nyumbani kwa balozi huyo, Oysterbay Dar es Salaam jana.
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Dianna Melrose (kulia), akizungumza kabla ya uzinduzi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
Maadhimisho kupinga ukeketaji kufanyika Singida
KUKITHIRI kwa vitendo vya ukeketaji kwa watoto wachanga katika Mkoa wa Singida, kumefanya maadhimisho ya kupinga vitendo hivyo kwa mwaka huu kufanyika mkoani humo ili kutoa elimu kwa wananchi. Kaimu...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-vNdSRq7YqeY/VPgaSt1aT3I/AAAAAAAHHxA/RfjbRhNZvZU/s72-c/el1.jpg)
Mh. Lowasaa akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini
![](http://4.bp.blogspot.com/-vNdSRq7YqeY/VPgaSt1aT3I/AAAAAAAHHxA/RfjbRhNZvZU/s1600/el1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/--d-jASQ-NRo/VPgaRGb6_SI/AAAAAAAHHw4/qPIznOwCkQA/s1600/el2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-gDzPKIVKl0k/VPgnE524IiI/AAAAAAAHHxc/Zzor1BwNdI8/s1600/el%2B3.jpg)
11 years ago
BBCSwahili06 Feb
Ukeketaji wahamishiwa Uingereza
10 years ago
BBCSwahili14 Mar
Ukeketaji Uingereza:Polisi walaumiwa
11 years ago
Dewji Blog09 Jun
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akutana na Balozi wa Uingereza nchini Bi. Dianna Melrose
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akimkaribisha kwa furaha, Balozi wa Uingereza hapa nchini, Dianna Melrose, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam, leo June 9, 2014.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, na Balozi huyo wa Uingereza hapa nchini, Dianna Melrose, wakipena mikono kabla ya kuanza mazungumzo yao, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam, June 9, 2014.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza...
10 years ago
Michuzi05 Feb
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-T7FqYtP5z5M/U5XhphW58eI/AAAAAAAFpR8/VUsR1o_Wsgs/s72-c/unnamed+(5).jpg)
WAZIRI WA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA, MHE. CHIZA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI, MS. DIANNA MELROSE
![](http://2.bp.blogspot.com/-T7FqYtP5z5M/U5XhphW58eI/AAAAAAAFpR8/VUsR1o_Wsgs/s1600/unnamed+(5).jpg)
9 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA HAPA NCHINI LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. Dianna Melrose na ujumbe aliofuatana nao wakati Balozi huyo alipofika Ofisini...