Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania: 12 mahakamani kwa ukeketaji

Wanawake 12 wanaotuhumiwa kuwafanyia ukeketaji wasichana 21, wamefikishwa mahakamani wilayani Same, Kilimanjaro

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YASAINI MAKUBALIANO NA UINGEREZA YA KUKOMESHA NDOA ZA UTOTONI NA UKEKETAJI KWA WATOTO KIKE

 Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Bi Sophia Simba (katikati) akisaini makubaliano ya pamoja baina ya Tanzania na Uingereza ya kukomesha ndoa za utotoni na ukeketaji wa watoto wa kike. kutoka kushoto ni Kamishna Mkuu wa Uingereza nchini,Bi.Dianna Melrose kulia ni Mwakilishi wa UNFPA,Dr.Natalia Kanem, leo katika ofisi za Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto.

Picha ya pamoja baada ya kusaini makubaliano ya pamoja baina ya Tanzania na Uingereza  kukomesha ndoa za utotoni na...

 

10 years ago

Vijimambo

ADHA YA UKEKETAJI TANZANIA KUJADILIWA NA WABUNGE UINGEREZA

Anna Marcus, wa Jumuiya ya Uingereza na Tanzania (BTs) akishangilia bendera za Tanzania.Mwanasaikolojia, mtafiti na mtetezi wa haki za waliokeketwa, Anne-Marie Wilson(kulia kabisa) akijadiliana na wanachama wengine wa Jumuiya ya Uingereza na Tanzania (BTs), ukumbi wa Central Hall, Westminster baada ya hotuba yake. Alisisitiza kila sekunde kumi , msichana fulani hukeketwa ulimwenguni. Kati kati ni mweka hazina wa BTs, Bw. Robert Gibson na Jonathan Cape, mwendeshaji wa hafla.Janet Chapman &...

 

10 years ago

Michuzi

ADHA YA UKEKETAJI TANZANIA KUJADILIWA NA WABUNGE UINGEREZA

Na Freddy Macha
Jumatano ijayo tarehe 15 Oktoba, 2014...kundi la kina mama watatu akiwemo Mtanzania litashiriki jopo la ukeketaji na Wabunge, London, Uingereza.
Mtanzania, Rhobi Samwelly, mama wa watoto wanne, ni mzawa wa Butiama, Mara. Wenzake ni Comfort Momoh, toka Nigeria, anayetibu wanawake waliokeketwa hospitali mbili za Guy’s na St Thomas, London na Ann-Marie Wilson mkurugenzi wa “28 Too Many.” Shirika hili lenye tovuti yenye http://28toomany.org/ ni maktaba kubwa yenye habari, picha,...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Simba azinduwa mkutano kujadili utokomezaji ukeketaji Tanzania

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba akizungumza kabla ya kufungua rasmi mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba akizungumza kabla ya kufungua rasmi mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania.

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Valerie Nsoka akizungumza katika mkutano huo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Valerie Nsoka akizungumza katika mkutano huo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, akizungumza katika mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, akizungumza katika mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania.

Mwakilishi Msaidizi wa UNFPA, Mariam Khan akiwasilisha mada katika mkutano huo.

Mwakilishi Msaidizi wa UNFPA, Mariam Khan...

 

11 years ago

Michuzi

Mapambano dhidi ya ukeketaji Tanzania , safari ni ndefu lakini kuna matumaini

Dunia ikiwa inaadhimisha siku ya kupinga ukeketaji kwa wanawake na wasichana inaelezwa kuwa mila na desturi ni kikwazo kikubwa katika harakati za kutokomeza vitendo hivyo.  Katika mahojiano na Joseph Msami wa  idhaa hii Mtaalamu wa masuala ya jinsia kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu, UNFPA nchini Tanzania, Christine Kwayu amesema licha ya mila hizo UNFPA kwa kushirikiana na wadau wanajitahidi kuelimisha jamii ili kuondokana na ukeketaji. Bi Kwayu kwanza anaanza kwa...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI SIMBA AZINDUWA MKUTANO KUJADILI UTOKOMEZAJI UKEKETAJI TANZANIA‏

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba akizungumza kabla ya kufungua rasmi mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania.[/caption][caption Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Valerie Nsoka akizungumza katika mkutano huo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, akizungumza katika mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mzazi, ngariba mbaroni kwa ukeketaji

Polisi Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya kwa kushirikiana na Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), wamewatia mbaroni watu wawili kwa kula njama na kuwakeketa watoto wa kike wanne wa Kijiji cha Marasibora, Kata ya Kisumwa, Wilaya ya Rorya, mkoani Mara.

 

10 years ago

BBCSwahili

Daktari afungwa kwa ukeketaji Misri

Katika kesi cha kipekee Misri, daktari mmoja ametiwa mbaroni kwa kosa la kumkeketa msichana mwenye umri wa miaka kumi na tatu.

 

10 years ago

Mwananchi

Tuungane kwa pamoja kupambana na ukeketaji

Ukeketaji ni miongoni mwa matatizo yanayoukabili mkoa wa Singida. Jambo hili kwa kiasi kikubwa limekuwa likirudisha nyuma maendeleo ya mwanamke na pia hata ustawi wa watoto wa kike kwa ujumla.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani