Waziri Simba azinduwa mkutano kujadili utokomezaji ukeketaji Tanzania
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba akizungumza kabla ya kufungua rasmi mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania.

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Valerie Nsoka akizungumza katika mkutano huo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, akizungumza katika mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania.

Mwakilishi Msaidizi wa UNFPA, Mariam Khan...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
WAZIRI SIMBA AZINDUWA MKUTANO KUJADILI UTOKOMEZAJI UKEKETAJI TANZANIA
11 years ago
Michuzi27 Jun
Ukeketaji Wanawake ni Udhalilishaji — Waziri Sophia Simba



10 years ago
Habarileo23 Mar
Wazee 60 Tarime kujadili ukeketaji
JUHUDI za kumaliza tatizo la ukeketaji katika wilaya ya Tarime zimeendelea kuzaa matunda, baada ya wazee wa mila 60 kukutana kukubali kuhudhuria semina inayolenga kutokomeza mila hiyo katika maeneo yao.
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI GEORGE SIMBACHAWENE AFUNGUA MKUTANO WA KUJADILI NISHATI ENDELEVU NCHINI KWA WOTE
10 years ago
Dewji Blog02 Jul
Alvaro Rodriguez afunga mkutano wa kujadili afya na vifo kwa mtoto Tanzania

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) Nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza alipokuwa akifunga mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania.

Baadhi ya Washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini...
10 years ago
Vijimambo01 Jul
Alvaro Rodriguez afunga Mkutano kujadili Afya na Vifo kwa Mtoto Tanzania


10 years ago
GPL
10 years ago
Dewji Blog11 Dec
Waziri Kabaka azinduwa mikopo ya elimu kwa vijana

Waziri wa Kazi na Ajira nchini Tanzania, Gaudensia Kabaka akizungumza katika uzinduzi wa huduma ya mikopo ya elimu na kuanzia maisha kwa wanachama wa Mfuko wa PSPF jijini Dar es Salaam. Huduma hiyo inatekelezwa kwa ushirikiano na Benki ya Posta Tanzania (TPB) na Mfuko wa PSPF.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi akizungumzia katika hafla ya uzinduzi wa huduma ya mkopo wa elimu kwa wanachama wa mfuko wa PSPF leo jiji ni Dar es Salaam.
Waziri wa Kazi na Ajira...