Wazee 60 Tarime kujadili ukeketaji
JUHUDI za kumaliza tatizo la ukeketaji katika wilaya ya Tarime zimeendelea kuzaa matunda, baada ya wazee wa mila 60 kukutana kukubali kuhudhuria semina inayolenga kutokomeza mila hiyo katika maeneo yao.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo13 Oct
Ukeketaji bado watesa Tarime
WATOTO wa kike wilayani Tarime mkoani Mara, bado wameendelea kuandamwa na matukio ya ukatili dhidi yao, licha ya kampeni za mara kwa mara za kupiga vita ukatili na matukio mengine yanayofanywa kutokana na imani katika mila potofu.
10 years ago
Habarileo27 Oct
Wazee waapa kuacha ukeketaji
WAZEE wa kimila kutoka koo zote za kabila la Wakurya wilayani Tarime, wamekubaliana mbele ya Mkuu wa wilaya Tarime, John Henjewele, kuacha kukeketa watoto wa kike.
11 years ago
Dewji Blog27 Jun
Waziri Simba azinduwa mkutano kujadili utokomezaji ukeketaji Tanzania
![Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba akizungumza kabla ya kufungua rasmi mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_00571.jpg)
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba akizungumza kabla ya kufungua rasmi mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania.
![Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Valerie Nsoka akizungumza katika mkutano huo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_00351.jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Valerie Nsoka akizungumza katika mkutano huo.
![Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, akizungumza katika mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0052.jpg)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, akizungumza katika mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania.
![Mwakilishi Msaidizi wa UNFPA, Mariam Khan akiwasilisha mada katika mkutano huo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_00241.jpg)
Mwakilishi Msaidizi wa UNFPA, Mariam Khan...
11 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_00571.jpg?width=640)
WAZIRI SIMBA AZINDUWA MKUTANO KUJADILI UTOKOMEZAJI UKEKETAJI TANZANIA
10 years ago
Habarileo05 Jan
Wazee, viongozi wa dini wasifu amani Tarime
WAZEE wa kimila wa koo 13 za kabila la Wakurya, viongozi wa madhehebu ya dini na makundi ya kijamii wilayani Tarime, wameupongeza Uongozi wa wilaya ya Tarime na Jeshi la Polisi kwa kudumisha amani.
10 years ago
VijimamboMATUKIO KATIKA PICHA YA MTANANGE WA WAZEE WA KUNDUCHI YANGA 0 NA WAZEE WA SAUZI SIMBA 0
MATOKEO KAMILI YA MECHI ZA LIGI KUU KATIKA VIWANJA SITA HII LEO:-
YANGA 0- SIMBA 0
NDANDA...
5 years ago
MichuziWAZEE WAIPONGEZA SERIKALI SHINYANGA KUPUNGUZA MAUAJI YA WAZEE
Wazee wametoa pongezi hizo leo Machi 11,2020 kwenye kikao cha Baraza la Wazee Mkoa wa Shinyanga, kilichofanyika kwenye hospitali ya rufani ya mkoa wa Shinyanga, kilichokuwa na lengo la kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi likiwamo suala la matibabu. Akisoma...
10 years ago
BBCSwahili17 Oct
11 years ago
Tanzania Daima12 Apr
Ukeketaji bado tatizo
UKEKETAJI ni mila potofu inayodhaniwa kwamba ikifanywa ni heshima pindi mwanamke atakapoolewa. Lakini ukeketaji una madhara kwa wanaofanyiwa, ikiwemo maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) kutokana na kuchangia nyenzo za...