Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATUKIO KATIKA PICHA YA MTANANGE WA WAZEE WA KUNDUCHI YANGA 0 NA WAZEE WA SAUZI SIMBA 0

Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (kulia), akiondosha mpira wa hatari katika eneo la langoni kwake huku mshambuliaji wa Simba, Elius Maguri (katikati) akijaribu kunyoosha guu ili kupiga mpira huo bila mafanikio wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliomaliziki jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, bila timu hizo kufungana. Kushoto ni Kelvin Yondan, akijiandaa kutoa msaada.

MATOKEO KAMILI YA MECHI ZA LIGI KUU KATIKA VIWANJA SITA HII LEO:-

YANGA 0- SIMBA 0
NDANDA...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZEE WAIPONGEZA SERIKALI SHINYANGA KUPUNGUZA MAUAJI YA WAZEE

Baraza la Wazee mkoa wa Shinyanga limeipongeza Serikali ya mkoa huo, kupunguza tatizo la mauaji ya wazee pamoja na watu wenye ualbino, ambao walikuwa akiuawa kwa sababu ya imani potofu za kishirikina.


Wazee wametoa pongezi hizo leo Machi 11,2020 kwenye kikao cha Baraza la Wazee Mkoa wa Shinyanga, kilichofanyika kwenye hospitali ya rufani ya mkoa wa Shinyanga, kilichokuwa na lengo la kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi likiwamo suala la matibabu.  Akisoma...

 

10 years ago

Vijimambo

MTANANGE WA YANGA NA SIMBA VIKOSI VYATAJWA

KIKOSI CHA YANGA
Deogratius Munisi "Dida" Juma Abdul, Oscar Joshua, Nadir Haroub "Cannavaro" Kelvin Yondani, Mbuyu Twite, Hassan Dilunga, Haruna Niyonzima, Genilson Santos "Jaja", Mrisho Ngasa, Andrey Coutinho.


BENCHI LA AKIBA
Juma Kaseja, Salum Telela, Rajab Zahir, Nizar Khalfan, Simon Msuva, Hamis Kiiza na Jerson Tegete.


KIKOSI CHA SIMBA
Manyika Peter, William Lucian, Mohamed Husseni, Hassan Shaka, Joseph Owino, Jonas Mkude, Haruna Chanongo, Said Ndemla, Elias Maguri, Amri Kiemba na Emanueli Okwi

 

10 years ago

Mtanzania

Wazee Simba kuvamia kambi ya wachezaji

Pg 32MWALI IBRAHIM NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
BAADA ya Simba kupokea kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City juzi, wazee wa klabu hiyo wameshindwa kuvumilia na kuamua kupanga kutinga kwenye kambi ya timu hiyo iliyopo Ndege Beach Dar es Salaam, ili kuzungumza na wachezaji kujua tatizo linalosababisha kuvurunda katika ligi.
Simba msimu huu imeshindwa kufanya vema katika mechi zake mbalimbali za ligi, ambapo kwa sasa inashika nafasi ya 11 kwenye msimamo hali ambayo imewakasirisha kwa kiasi...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZA MTANANGE WA YANGA NA AZAM JITIRIRISHE CHINI KIROHO SAFI

Kikosi cha timu ya Azam FCKikosi cha timu ya Yanga.Wachezaji wa timu ya Azam FC wakishangilia goli yao la kwanza dhidi ya Yanga.
Mshambuliaji wa Yanga,Hamis Tambwe akiipatia timu yake bao la kusawazisha katika mtanange wa muendelezo wa ligi kuu Tanzania bara uliochezwa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam .Picha zote na Othman Michuzi.Mfungaji wa goli la kwanza kwa timu ya Yanga,Hamis Tambwe na Mfungaji wa Bao la pili,Simon Msuva wakishangia ushindi wao dhidi ya timu ya Azam katika...

 

9 years ago

MillardAyo

Mbunge wa Monduli alivyokabidhiwa mikoba ya kazi na wazee wa Kimasai !! (+Picha)

Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano Tanzania tayari wameapishwa kwa asilimia kubwa, wachache waliobaki ni wa kutoka maeneo ambayo Uchaguzi Mkuu ulisogezwa mbele kwa sababu mbalimbali. Kama ulidhani kazi ya kuapishwa ilitosha kuumsogeza Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA) kuendelea na Ubunge, basi jibu ni hapana… wazee wa jamii ya kimasai, wamemkabidhi fimbo kama ishara ya kumbariki […]

The post Mbunge wa Monduli alivyokabidhiwa mikoba ya kazi na wazee wa Kimasai !! (+Picha)...

 

9 years ago

Bongo5

Alikiba na Jokate washuhudia mtanange wa Simba na Yanga pamoja

Alikiba na Jokate Mwegelo waligeuka kuwa kama kumbi kumbi weekend hii baada ya kuungana pamoja kushuhudia mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam. Alikiba na Jokate wakitoka katika uwanja wa Taifa Jokate ambaye anaonekana kuwa ni shabiki wa Yanga iliyoibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi […]

 

11 years ago

GPL

WAZEE WA YANGA WAPANGA KUMFUATA MKUU WA MKOA WA DAR

Katibu wa Baraza la Wazee wa Yanga, Ibrahim Akilimali (katikati), akizungumza na wandishi wa habari, leo makao makuu ya klabu hiyo Jangwani, kuhusu azimio lao la kumfuata Mkuu wa Mkoa Dar Meck Sadiki Jumatatu wiki hii, wakishinikiza kupewa majibu ya ombi lao la kuongozewa eneo kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa kisasa pale Jangwani.
Mzee Akilimali (katikakati) akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari. Kulia...

 

10 years ago

Michuzi

kuelekea mtanange wa Simba na Yanga, mashabiki milioni 20 matumbo joto

Mega sport.com
Hakuna takwimu sahihi za mashabiki wa klabu kongwe nchini za Simba na Yanga ni wangapi, lakini si chini ya watu milioni 20, akili zao zitasimama kwa takriban dk 90 na kupata kiwewe cha huzuni au furaha wakati miamba hiyo itakapovaana hapo kesho Taifa.
Joto la mechi hiyo tayari limepanda Zaidi ya nyuzi 90 huku kukiwa na hisia tofauti zikiwemo za udanganyifu wa wachezaji kuwa majeruhi ili kuteka akili za wapinzani.
Tayari kuna taarifa Yanga itawakosa wachezaji wake muhimu akiwemo...

 

10 years ago

Vijimambo

MTANANGE WA ZANZIBAR HEROES NA TANZANIA BARA KATIKA PICHA

Moja ya magoli ya Zanzibar Heroes yakimuacha kipa Mussa Linga wa Tanzania Bara asijue la kufanyaWachezaji wa pande zote mbili wakichuana vikaliMpambano ukiendeleaMechi ni kali

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani