WAZEE WAIPONGEZA SERIKALI SHINYANGA KUPUNGUZA MAUAJI YA WAZEE
Baraza la Wazee mkoa wa Shinyanga limeipongeza Serikali ya mkoa huo, kupunguza tatizo la mauaji ya wazee pamoja na watu wenye ualbino, ambao walikuwa akiuawa kwa sababu ya imani potofu za kishirikina.
Wazee wametoa pongezi hizo leo Machi 11,2020 kwenye kikao cha Baraza la Wazee Mkoa wa Shinyanga, kilichofanyika kwenye hospitali ya rufani ya mkoa wa Shinyanga, kilichokuwa na lengo la kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi likiwamo suala la matibabu. Akisoma...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo26 Jun
Wazee Moro waipongeza serikali kwa pensheni
ASASI isiyokuwa ya Kiserikali ya wazee wa mkoa wa Morogoro (MOROPEO) inayojishughulisha na uboreshaji wa masuala ya wazee kimkoa, imeipongeza serikali kwa kusikiliza kilio chao cha muda mrefu baada ya kuanza kuwalipa pensheni.
9 years ago
Habarileo16 Dec
Wazee Shinyanga wapongeza wanahabari
VYOMBO mbalimbali vya habari mkoani Shinyanga vimepongezwa kuripoti kwa kuhamasiha jamii juu ya haki za wazee huku wakieleza kuona matunda ya kuthaminiwa kwao.
11 years ago
VijimamboMATUKIO KATIKA PICHA YA MTANANGE WA WAZEE WA KUNDUCHI YANGA 0 NA WAZEE WA SAUZI SIMBA 0
MATOKEO KAMILI YA MECHI ZA LIGI KUU KATIKA VIWANJA SITA HII LEO:-
YANGA 0- SIMBA 0
NDANDA...
11 years ago
Tanzania Daima03 Oct
Mauaji ya wazee yazidi nchini
LICHA kuwepo jitihada za serikali kupambana na mauaji ya vikongwe nchini kipindi cha mwaka 2012, lakini zaidi ya 600 waliuawa kutokana na imani za kishirikina. Hayo yalibainishwa jana na Mratibu...
10 years ago
StarTV17 Aug
MAUAJI YA WAZEE: Ramli, mirathi, ushirikina vyatajwa kuchangia
Imani za kishirikina, ramli chonganisha, mirathi, ardhi, mihemuko ya Imani za mapepo kwa baadhi ya Imani za dini pamoja na kukosekana kwa elimu ya afya katika maeneo ya vijijini kunasababisha wanawake wazee kuuwawa kwa kukatwa mapanga kwa kutuhumiwa kuwa ni wachawi
Hayo yamebainika katika semina ya kujadili chanagamoto zinazowakabili wazee wa mikoa ya kanda ya ziwa pamoja na kuangalia mswaada wa sheria ya wazee utakaowawezesha kupata mahitaji yao ya lazima ili weweze kuishi maisha bora...
11 years ago
Mwananchi25 May
Serikali yabanwa pensheni ya wazee
10 years ago
Habarileo23 Jan
Wazee wataka mazuri ya Serikali yasemwe
MWENYEKITI mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Pancras Ndejembi ametaka mazuri yaliyofanywa na serikali ambayo ni mengi yatangazwe.
11 years ago
Mwananchi09 Sep
Baraza jipya la Wazee Chadema laibana Serikali
11 years ago
Habarileo10 Apr
CCM Marekani serikali 2, wazee Z’bar wamfagilia JK
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), tawi la jijini Washington DC, Marekani wametoa tamko la kuunga mkono muundo wa serikali mbili, wakisema umewaweka Watanzania katika hali ya umoja na mshikamano kwa miaka ipatayo 50 sasa.