Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazee Shinyanga wapongeza wanahabari

VYOMBO mbalimbali vya habari mkoani Shinyanga vimepongezwa kuripoti kwa kuhamasiha jamii juu ya haki za wazee huku wakieleza kuona matunda ya kuthaminiwa kwao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZEE WAIPONGEZA SERIKALI SHINYANGA KUPUNGUZA MAUAJI YA WAZEE

Baraza la Wazee mkoa wa Shinyanga limeipongeza Serikali ya mkoa huo, kupunguza tatizo la mauaji ya wazee pamoja na watu wenye ualbino, ambao walikuwa akiuawa kwa sababu ya imani potofu za kishirikina.


Wazee wametoa pongezi hizo leo Machi 11,2020 kwenye kikao cha Baraza la Wazee Mkoa wa Shinyanga, kilichofanyika kwenye hospitali ya rufani ya mkoa wa Shinyanga, kilichokuwa na lengo la kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi likiwamo suala la matibabu.  Akisoma...

 

10 years ago

Michuzi

Kadama Malunde Mwenyekiti Mpya wa Wanahabari Shinyanga

Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga aliyemaliza muda wake, Shija Felician akimpongeza Mwenyekiti mpya wa Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga, Kadama Malunde (mwenye suti) baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguzi wa Klabu hiyo. Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga aliyemaliza muda wake, Shija Felician akimpongeza Mwenyekiti mpya wa Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga, Kadama Malunde (mwenye suti) baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguzi wa Klabu hiyo. Viongozi wa Klabu ya waandishi wa habari Mkoa wa Shinyanga waliomaliza muda wao wakijiuzuru nyadhifa zao kabla ya uchaguzi mkuu kupata viongozi wapya wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club- SPC)Msimamizi...

 

5 years ago

Michuzi

WANAHABARI SHINYANGA WAPATIWA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA



Na Damian Masyenene - Shinyanga Press Club
Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga(SPC) imegawa vifaa vya kujikinga na maambukizi ya virusi vya homa kali ya mapafu Corona kwa waandishi wa habari,ili kuwawezesha kutekeleza majukumu yao katika mazingira salama na kuepuka maambukizi.
Vifaa walivyopewa wanachama ni barakoa (masks), vitakasa mikono (sanitizers), medical gloves na sabuni za maji ‘Hand soaps’ ambapo zoezi la ugawaji vifaa hivyo limesimamiwa na Viongozi wa SPC wakiongozwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

KADAMA MALUNDE ACHAGULIWA MWENYEKITI MPYA WA WANAHABARI SHINYANGA

Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga aliyemaliza muda wake, Shija Felician akimpongeza Mwenyekiti mpya wa Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga, Kadama Malunde (mwenye suti) baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguzi wa Klabu hiyo. Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga aliyemaliza muda wake, Shija Felician akimpongeza Mwenyekiti mpya wa Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga, Kadama Malunde (mwenye suti) baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguzi wa Klabu hiyo.Viongozi wa Klabu ya waandishi wa habari Mkoa wa Shinyanga waliomaliza muda wao wakijiuzuru nyadhifa zao kabla ya uchaguzi mkuu kupata viongozi wapya wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club- SPC)
Msimamizi...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AFANYA ZIARA SOKO KUU SHINYANGA.

Desemba 02,2015- Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro ameendelea na ziara za kushtukiza kwenye maeneo ambayo ni kero katika wilaya hiyo.Ilikuwa majira ya saa tano asubuhi,mkuu huyo wa wilaya akaabukia katika soko kuu la manispaa ya Shinyanga lililojengwa kabla ya uhuru wa Tanganyika..Ikawa faraja kwa Wafanyabiashara wa soko hilo waliodai kwa kipindi kirefu wamekuwa wakiilalamikia halmashauri ya manispaa kutokana na kushindwa kulifanyia ukarabati soko hilo.Akiwa katika soko hilo...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AFANYA MKUTANO NA AKINA MAMA ZAIDI YA 300 KUPAMBA NA KIPINDUPINDU SHINYANGA


Hapa ni katika ukumbi wa NSSF mjini Shinyanga ambako wanawake/akina mama zaidi ya 300 wa manispaa ya Shinyanga wamekutana kujadili namna ya kupambana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umeukumba mkoa wa Shinyanga.Mkutano huo umeitishwa na mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro.Akina mama hao waliojitokeza kwa wingi leo jioni Oktoba 06,2015 wameweka mikakati mbalimbali ya kutokemeza ugonjwa kipindupindu ambapo Jana pekee wagonjwa 9 wamelazwa katika kambi maalum jirani na hospital ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MATUKIO KATIKA PICHA YA MTANANGE WA WAZEE WA KUNDUCHI YANGA 0 NA WAZEE WA SAUZI SIMBA 0

Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (kulia), akiondosha mpira wa hatari katika eneo la langoni kwake huku mshambuliaji wa Simba, Elius Maguri (katikati) akijaribu kunyoosha guu ili kupiga mpira huo bila mafanikio wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliomaliziki jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, bila timu hizo kufungana. Kushoto ni Kelvin Yondan, akijiandaa kutoa msaada.

MATOKEO KAMILI YA MECHI ZA LIGI KUU KATIKA VIWANJA SITA HII LEO:-

YANGA 0- SIMBA 0
NDANDA...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wadau wapongeza Going Bongo

Rais wa Shirikisho la Filamu Simon Mwakifamba akiongea na vyombo vya habari wakati wa uzinduzi filamu ya ‘Going Bongo’ uliofanyika jana Ijumaa.

Na Mwandishi wetu

WADAU mbalimbali waliofika kwenye  onyesho la kwanza la filamu  ya mtanzania anayeishi nchini Marekani  wametoa sifa kemkema kuhusu filamu hiyo  inayokwenda kwa jina la ‘Going Bongo’ kwamba wamewataka wasanii wa hapa nchini waige mfano wake.

Wakizungumza baada ya kutoka kuaitazama ndani ya ukumbi wa cimema wa Cinemax Ijumaa usiku...

 

9 years ago

Mwananchi

Wapongeza uhuru wa kamati Fifa

Uamuzi wa kufungiwa miaka minane kwa rais wa Shirikisho la Soka Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter na mwenzake wa Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa), Michel Platini umetafsiriwa kwa mitazamo tofauti na wadau wa soka nchini. Baadhi wametaka uhuru wa kamati za Fifa uwapo pia kwenye Shirikisho la Tanzania (TFF).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani