KADAMA MALUNDE ACHAGULIWA MWENYEKITI MPYA WA WANAHABARI SHINYANGA
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga aliyemaliza muda wake, Shija Felician akimpongeza Mwenyekiti mpya wa Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga, Kadama Malunde (mwenye suti) baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguzi wa Klabu hiyo.
Viongozi wa Klabu ya waandishi wa habari Mkoa wa Shinyanga waliomaliza muda wao wakijiuzuru nyadhifa zao kabla ya uchaguzi mkuu kupata viongozi wapya wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club- SPC)
Msimamizi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKadama Malunde Mwenyekiti Mpya wa Wanahabari Shinyanga
![Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga aliyemaliza muda wake, Shija Felician akimpongeza Mwenyekiti mpya wa Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga, Kadama Malunde (mwenye suti) baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguzi wa Klabu hiyo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/P1160791.jpg)
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AREJEA NCHINI-ACHAGULIWA MWENYEKITI MPYA WA EAC
11 years ago
Mwananchi18 Feb
Pandu achaguliwa mwenyekiti wa muda #Bunge Maalum la Katiba
9 years ago
Habarileo16 Dec
Wazee Shinyanga wapongeza wanahabari
VYOMBO mbalimbali vya habari mkoani Shinyanga vimepongezwa kuripoti kwa kuhamasiha jamii juu ya haki za wazee huku wakieleza kuona matunda ya kuthaminiwa kwao.
9 years ago
Michuzi30 Aug
Amina Karuma achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu wa Wanawake nchini
![](http://tff.or.tz/images/Canada.png)
5 years ago
MichuziWANAHABARI SHINYANGA WAPATIWA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA
Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga(SPC) imegawa vifaa vya kujikinga na maambukizi ya virusi vya homa kali ya mapafu Corona kwa waandishi wa habari,ili kuwawezesha kutekeleza majukumu yao katika mazingira salama na kuepuka maambukizi.
Vifaa walivyopewa wanachama ni barakoa (masks), vitakasa mikono (sanitizers), medical gloves na sabuni za maji ‘Hand soaps’ ambapo zoezi la ugawaji vifaa hivyo limesimamiwa na Viongozi wa SPC wakiongozwa na...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-UUK_Ajjuasw/VH7X9X31GPI/AAAAAAAG06o/jPrs4NgIiEo/s72-c/MMGM1318.jpg)
Makamu Mwenyekiti wa UVCCM achaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Afrika Kanda ya Afrika Mashariki
![](http://4.bp.blogspot.com/-UUK_Ajjuasw/VH7X9X31GPI/AAAAAAAG06o/jPrs4NgIiEo/s1600/MMGM1318.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-bBWv9yQNvSI/VH7X7f0UB4I/AAAAAAAG06g/XLbe4qUejRc/s1600/MMGM1313.jpg)
10 years ago
Bongo528 Aug
Rooney achaguliwa kuwa nahodha mpya wa England