Kadama Malunde Mwenyekiti Mpya wa Wanahabari Shinyanga
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga aliyemaliza muda wake, Shija Felician akimpongeza Mwenyekiti mpya wa Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga, Kadama Malunde (mwenye suti) baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguzi wa Klabu hiyo.
Viongozi wa Klabu ya waandishi wa habari Mkoa wa Shinyanga waliomaliza muda wao wakijiuzuru nyadhifa zao kabla ya uchaguzi mkuu kupata viongozi wapya wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club- SPC)
Msimamizi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboKADAMA MALUNDE ACHAGULIWA MWENYEKITI MPYA WA WANAHABARI SHINYANGA
![Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga aliyemaliza muda wake, Shija Felician akimpongeza Mwenyekiti mpya wa Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga, Kadama Malunde (mwenye suti) baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguzi wa Klabu hiyo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/P1160791.jpg)
9 years ago
Habarileo16 Dec
Wazee Shinyanga wapongeza wanahabari
VYOMBO mbalimbali vya habari mkoani Shinyanga vimepongezwa kuripoti kwa kuhamasiha jamii juu ya haki za wazee huku wakieleza kuona matunda ya kuthaminiwa kwao.
5 years ago
MichuziWANAHABARI SHINYANGA WAPATIWA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA
Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga(SPC) imegawa vifaa vya kujikinga na maambukizi ya virusi vya homa kali ya mapafu Corona kwa waandishi wa habari,ili kuwawezesha kutekeleza majukumu yao katika mazingira salama na kuepuka maambukizi.
Vifaa walivyopewa wanachama ni barakoa (masks), vitakasa mikono (sanitizers), medical gloves na sabuni za maji ‘Hand soaps’ ambapo zoezi la ugawaji vifaa hivyo limesimamiwa na Viongozi wa SPC wakiongozwa na...
10 years ago
Vijimambo13 Aug
MWENYEKITI WA CCM SHINYANGA KHAMIS MGEJA AHAMIA CHADEMA
![](http://api.ning.com/files/ykZ*wTWqMzb4ytuRIXAmmOxZurcIiApYyCM-PaNTa4-GX0wYFYQgz6G8pqN1XS1Jg4NFiY7tbBS8siGOdRZlapkXMVJ*c*j2/MGEJA.jpg)
Khamis Mgeja alikua mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga leo ametangaza rasmi kujiunga na CHADEMA jijini Dar.
10 years ago
VijimamboMWENYEKITI WA VUGUVUGU NCHINI BURUNDI AONGEA NA WANAHABARI HOTEL YA SERENA JIJINI DAR.
***** Mwenyekiti wa vuguvugu za Maandamano Burundi kwa Mara ya kwanza amefika Nchini Tanzania ili kuweza kushuhudia Mkutano wa Dharula kati ya viongozi watano wa Jumuia...
10 years ago
GPLMWENYEKITI WA VUGUVUGU LA MAANDAMANO NCHINI BURUNDI AONGEA NA WANAHABARI HOTEL YA SERENA JIJINI DAR
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Gharama mpya Shinyanga zawakimbiza wajawazito
UAMUZI wa kupandisha gharama za matibabu zikiwemo zile za kujifungua, katika hospitali ya Mkoa wa Shinyanga umesababisha mamia ya wagonjwa wakiwemo wajawazito kuikimbia. Hatua ya kupandisha gharama za matibabu iliyochukuliwa...
11 years ago
Habarileo10 Aug
Shibuda aonya ushabiki wa wanahabari Katiba mpya
MB U N G E wa Maswa M a g h a r i b i , John Shibuda ( C h a d e m a ) , ameviasa vyombo vya habari nchini kuwa makini na aina ya uandishi wa habari za ushabiki ambazo hazijengi nchi, bali zinachochea na kuongeza chuki baina ya makundi yanayokinzana bungeni, hivyo kutofikia maridhiano ya kupata Katiba mpya.
10 years ago
GPLWANAHABARI WASHIRIKI UZINDUZI WA CHANELI MPYA YA DSTV AFRIKA KUSINI