Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAHABARI WASHIRIKI UZINDUZI WA CHANELI MPYA YA DSTV AFRIKA KUSINI

Waandishi wa habari wa mataifa mbalimbali ya Afrika walivyoshiriki kwenye uzinduzi wa chaneli mpya ya watoto ya Nick Jr, jana Jumamosi jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Chaneli hiyo itakuwa ikionyesha masuala mbalimbali ya watoto kupitia chaneli za DStv.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

DSTV YAZINDUA CHANELI MPYA MUZIKI ,FILAM PAMOJA NA MAHOJIANO

 Meneja wa Mahusiano wa MultChoice Tanzania (DSTV),Barbara Kambogi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya uzinduzi wa chaneli mpya ya Maisha Magic Bongo inayoanza leo kwa kuonyesha muziki,filam pamoja na mahojiano iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Masoko wa MultChoice Tanzania,Furaha  Samari, na kulia ni Mwakakilishi wa MNET Afrika Mashariki,Lisa Venter.Mwakakilishi wa MNET Afrika Mashariki,Lisa Venter akizungumza na  waandishi (hawapo pichani) juu...

 

9 years ago

Dewji Blog

MAISHA MAGIC BONGO: Imefika mpya kutoka M-NET kuwalenga Watanzania ndani ya DSTV chaneli 160!

DSC_2017

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania, Barbara Kambogi, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa Chaneli mpya ya Maisha Magic Bongo ambayo inaanza kuonekana leo Oktoba Mosi kupitia DSTV Chaneli 160, kwa wateja wa DStv. Kushoto ni Afisa Masoko wa Multichoice Tanzania, Furaha Samalu na kulia ni Mwendeshaji Mkuu wa M-NET kwa Afrika Mashariki, Bi Lisa Venter. (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog).

DSC_2025Afisa Masoko wa Multichoice Tanzania,...

 

9 years ago

Michuzi

DStv YAJA NA CHANELI YA MAISHA MAGIC BONGO, KWA AJILI YA WATANZANIA

D3A_5097Mkurugenzi M-Net Kanda ya Afrika Magharibi, Wangi Mba-Uzoukwu akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kutoka nchi za Afrika waliokusanyika kwenye jukwaa kubwa la kuonesha vitu mbalimbali vinavyoburudisha katika chaneli za DStv na GoTv kupitia MultiChoice hivi karibuni nchini Mauritius.D3A_5116Mkurugenzi wa M-Net kwa nchi za Afrika Mashariki na SADC, Theo Erasmus akifurahi jambo kwenye mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) kutoka nchi mbalimbali za Afrika.
Na Modewjiblog,...

 

9 years ago

GPL

DSTV YAJA NA CHANELI YA MAISHA MAGIC BONGO, KWA AJILI YA WATANZANIA‏

Mkurugenzi M-Net Kanda ya Afrika Magharibi, Wangi Mba-Uzoukwu akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kutoka nchi za Afrika waliokusanyika kwenye jukwaa kubwa la kuonesha vitu mbalimbali vinavyoburudisha katika chaneli za DStv na GoTv kupitia MultiChoice hivi karibuni nchini Mauritius. Mkurugenzi wa M-Net kwa nchi za Afrika Mashariki na SADC, Theo Erasmus akifurahi jambo kwenye mkutano na waandishi wa habari...

 

10 years ago

BBCSwahili

Afrika kusini yaweka sheria mpya ya watoto

Sheria mpya imeanza kutekelezwa hii leo ambapo yeyote anayenuia kusafiri na mtoto atahitaji kuambatanisha na cheti chake cha kuzaliwa.

 

9 years ago

Bongo5

Mwana FA kwenda Afrika Kusini kushoot video ya wimbo mpya

FA

Mwana Fa ni miongoni mwa wasanii waliositisha kazi zao za muziki ili kupisha mambo ya kampeni pamoja na uchaguzi, na sasa baada ya hayo yote kumalizika yuko tayari kurejea kwenye uwanja wake wa kujidai, yaani muziki.

FA

Binamu amesema kuwa ana kazi nyingi ambazo amezifanya na anaendelea kufanya zingine, “Kweli nina kazi wala sio kazi moja wala sio kazi mbili, yani nina kazi kadhaa na wiki ijayo narekodi nyingine,” aliiambia Planet Bongo ya East Africa Radio. “ lakini haya mambo ya uchaguzi...

 

9 years ago

Michuzi

MAISHA MAGIC BONGO IMEFIKA! CHANELI MPYA INAYOZINDULIWA NA M-NET KUWALENGA WATANZANIA.

Kampuni inayoongoza kwa burudani barani Afrika, M-Net inazindua chaneli mpya yenye  kulenga watanzania, itakayokuwa na burudani mbali mbali zenye hadhi ya Kitanzania,  ni  MAISHA MAGIC BONGO itakayoanza kuonekana hewani Octoba 1 saa 10 Alasiri.   Moja ya madhumuni ya M-Net ni kuhakikisha inalifikia soko la wateja wake ikiwemo kuingiza maudhui wanayopenda wateja wake. Chaneli hii mpya inategemea kukidhi mahitaji ya soko la wateja wa Tanzania. Ikihusisha vipindi zaidi ya 6 vitakavyokuwa...

 

10 years ago

Bongo5

Video mpya ya Rich Mavoko ‘ Pacha Wangu’ aliyoshoot Afrika Kusini na director AJ

Hatimaye Rich Mavoko ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Pacha Wangu’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu. Video imefanyika jijini Cape Town, Afrika Kusini na kuongozwa na director Adam Juma wa Visual Lab:Next Level. Itazame

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani