Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video mpya ya Rich Mavoko ‘ Pacha Wangu’ aliyoshoot Afrika Kusini na director AJ

Hatimaye Rich Mavoko ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Pacha Wangu’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu. Video imefanyika jijini Cape Town, Afrika Kusini na kuongozwa na director Adam Juma wa Visual Lab:Next Level. Itazame

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Video: Teaser ya video mpya ya Linah ‘Ole Themba’ aliyoshoot Afrika Kusini na director GodFather

Baada ya Diamond Platnumz, Ommy Dimpoz na wasanii wengine wachache wa Tanzania kuanza kutafuta upenyo wa kulikamata soko la kimataifa, msanii wa kike Linah Sanga naye ameongezeka kwenye orodha hiyo. Hivi karibuni Linah alikuwa nchini Afrika Kusini ambako alifanikiwa kurekodi nyimbo kadhaa na maprodyuza wa huko akiwa chini ya usimamizi wake mpya. Licha ya kurekodi […]

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Avril aachia video mpya aliyoshoot Tanzania na director Hanscana ‘No Stress’

avril

Muimbaji Avril kutoka Kenya alikuja Tanzania mwezi September kwa lengo la kufanya media tour, na kuungana na Ben Pol kuzindua wimbo mpya ‘Ningefanyeje’ waliofanya pamoja. Kingine alikuja kushoot video ya wimbo wake mpya ‘No Stress’ aliomshirikisha AY.

avril

Jumamosi iliyopita Avril alizindua video hiyo jijini Nairobi ambapo ilioneshwa kwa mara ya kwanza kabla ya kuwekwa kwenye mtandao wa Youtube. Director wa video hiyo Hanscana ambaye ni mshindi wa Tuzo Za Watu 2015 pamoja na AY walisafiri...

 

10 years ago

Bongo5

Kumbe video mpya ya Shaa ‘Njoo’ ina pacha wake ‘from another director’, tazama wanavyofanana!

Ule msemo wa ‘duniani wawili wawili’ umejidhihirisha hata kwenye video mpya ya mwanadada Shaa ya wimbo wake ‘Njoo’, aliomshirikisha staa wa Kenya Redsan. Video ya Shaa iliyoongozwa na director Enos Olik wa Kenya ina mfanano na video ya wimbo wa msanii Melanie Fiona ‘This Time’ aliomshirikisha J.Cole ambayo ilitoka Jun 18, 2012. Zitazame video zote […]

 

9 years ago

Bongo5

Mo Music kwenda Afrika Kusini kushoot video ya ‘Skendo’ na director huyu…

Mo Music

Muimbaji wa Bongo fleva, Moshi Katemi maarufu kama Mo Music anatarajia kwenda nchini Afrika Kusini kushoot video ya wimbo wake mpya ‘Skendo’ aliouachia hivi karibuni.

Mo Music

Hit Maker huyo wa ‘Basi Nenda’ amesema licha ya kuwa anaenda kushoot nje ya nchi lakini atamtumia director wa hapa nyumbani Adam Juma ambaye ndiye alishoot video zake mbili zilizopita.

“Sitaki kuwaangusha mashabiki wangu, nitakwenda Afrika Kusini kufanya video ya Skendo ila nitamtumia Adam Juma kwa sababu ni mwongozaji bora na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani