Kumbe video mpya ya Shaa ‘Njoo’ ina pacha wake ‘from another director’, tazama wanavyofanana!
Ule msemo wa ‘duniani wawili wawili’ umejidhihirisha hata kwenye video mpya ya mwanadada Shaa ya wimbo wake ‘Njoo’, aliomshirikisha staa wa Kenya Redsan. Video ya Shaa iliyoongozwa na director Enos Olik wa Kenya ina mfanano na video ya wimbo wa msanii Melanie Fiona ‘This Time’ aliomshirikisha J.Cole ambayo ilitoka Jun 18, 2012. Zitazame video zote […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo523 Nov
Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Shaa ‘Toba’ iliyoongozwa na Justin Campos
![Shaa MTV](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Shaa-MTV-300x194.jpg)
Masaa machache kabla video ya wimbo mpya wa Shaa ‘Toba’ haijatambulishwa rasmi kupitia MTV Base, muimbaji huyo ametupa kionjo kidogo.
Video hiyo imeongozwa na director wa Afrika Kusini, Justin Campos. Usikose kuitazama leo jioni (Nov.23) saa 12 kamili kupitia MTV Base ‘Spanking New’
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Bongo526 Sep
Video mpya ya Rich Mavoko ‘ Pacha Wangu’ aliyoshoot Afrika Kusini na director AJ
9 years ago
Bongo510 Oct
Shaa azungumzia ukimya wake na ujio wa kazi zake mpya
10 years ago
Bongo515 Oct
Enos Olik aongoza video ya wimbo mpya wa Shaa
9 years ago
Bongo517 Nov
New Video: Avril aachia video mpya aliyoshoot Tanzania na director Hanscana ‘No Stress’
![avril](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/avril-300x194.jpg)
Muimbaji Avril kutoka Kenya alikuja Tanzania mwezi September kwa lengo la kufanya media tour, na kuungana na Ben Pol kuzindua wimbo mpya ‘Ningefanyeje’ waliofanya pamoja. Kingine alikuja kushoot video ya wimbo wake mpya ‘No Stress’ aliomshirikisha AY.
Jumamosi iliyopita Avril alizindua video hiyo jijini Nairobi ambapo ilioneshwa kwa mara ya kwanza kabla ya kuwekwa kwenye mtandao wa Youtube. Director wa video hiyo Hanscana ambaye ni mshindi wa Tuzo Za Watu 2015 pamoja na AY walisafiri...
9 years ago
Bongo524 Nov
Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Kassim Mganga ‘Subira’
![Kassim-Mganga-serengeti-fiesta-Mbeya.](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/10/Kassim-Mganga-serengeti-fiesta-Mbeya.-200x133.jpg)
Kassim Mganga amekamilisha video ya wimbo wake ‘Subira’ aliomshirikisha Christian Bella, wimbo uliotoka mwanzoni mwa mwaka huu.
Video hiyo iliyoongozwa na Adam Juma inatarajiwa kutoka Ijumaa hii.
“Muda mrefu sana nimekuwa na kigugumizi juu ya majibu ya maswali yenu kuhusu video ya wimbo wenu pendwa wa #SUBIRA…kazi haikuwa ndogo kukamilisha hii video yote kupata video ya kiwango kinachohitajika machoni mwenu wadau..kazi imekamilika shukran kwa subira yenu wadau,in shaa Allah Ijumaa hii...
10 years ago
Bongo522 Aug
Video: Tazama teaser ya video mpya wa Linex ‘Wema Kwa Ubaya’
9 years ago
Bongo505 Sep
Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Belle 9 — ‘Shauri Zao’