Video: Tazama teaser ya video mpya wa Linex ‘Wema Kwa Ubaya’
“Mungu ni Wa ajabu hata ukiwa mtenda mabaya ukirudisha moyo wako nyuma anasamehe na kusahau”, hayo ni baadhi ya maneno katika wimbo mpya wa Linex uitwao ‘Wema Kwa Ubaya’ ambao anatarajia kuutoa. Kuna dalili nyingi sana za wimbo huu wa hisia kuteka mioyo ya wengi, na ukitaka kufahamu sababu basi tazama sekunde 30 za video […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo502 Sep
New Music Video: Linex — Wema Kwa Ubaya
10 years ago
GPL02 Sep
10 years ago
Bongo519 Aug
Video: Tazama teaser ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘ Mr Nay’ iliyofanyika Kenya
10 years ago
Bongo522 Aug
Video Teaser: Kionjo cha video mpya ya Professor Jay ‘Kipi Sijasikia’ (HD)
11 years ago
Bongo514 Jul
Video: Teaser ya video mpya ya Linah ‘Ole Themba’ aliyoshoot Afrika Kusini na director GodFather
9 years ago
Bongo524 Nov
Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Kassim Mganga ‘Subira’
![Kassim-Mganga-serengeti-fiesta-Mbeya.](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/10/Kassim-Mganga-serengeti-fiesta-Mbeya.-200x133.jpg)
Kassim Mganga amekamilisha video ya wimbo wake ‘Subira’ aliomshirikisha Christian Bella, wimbo uliotoka mwanzoni mwa mwaka huu.
Video hiyo iliyoongozwa na Adam Juma inatarajiwa kutoka Ijumaa hii.
“Muda mrefu sana nimekuwa na kigugumizi juu ya majibu ya maswali yenu kuhusu video ya wimbo wenu pendwa wa #SUBIRA…kazi haikuwa ndogo kukamilisha hii video yote kupata video ya kiwango kinachohitajika machoni mwenu wadau..kazi imekamilika shukran kwa subira yenu wadau,in shaa Allah Ijumaa hii...
9 years ago
Bongo505 Sep
Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Belle 9 — ‘Shauri Zao’