Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Music Video: Linex — Wema Kwa Ubaya

Linex Sunday Mjeda ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Wema Kwa Ubaya’, video ambayo imeongozwa na Adam Juma (AJ) wa Visual Lab: Next Level. Itazame

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Video: Tazama teaser ya video mpya wa Linex ‘Wema Kwa Ubaya’

“Mungu ni Wa ajabu hata ukiwa mtenda mabaya ukirudisha moyo wako nyuma anasamehe na kusahau”, hayo ni baadhi ya maneno katika wimbo mpya wa Linex uitwao ‘Wema Kwa Ubaya’ ambao anatarajia kuutoa. Kuna dalili nyingi sana za wimbo huu wa hisia kuteka mioyo ya wengi, na ukitaka kufahamu sababu basi tazama sekunde 30 za video […]

 

9 years ago

Mtanzania

Octopizzo: Sitajibu ubaya kwa ubaya

octoMSANII wa Kenya, Octopizzo amesema hatorekodi wimbo wa kuponda wabaya wake kwa kuwa kuendeleza ubaya kwa ubaya ni kupoteza muda bure.

Mwana hip hop huyo wa Kenya alikuwa katika majibizano makali na wasanii wenzake wa hip hop nchini humo; King Kaka, Jones, Khaligraph na Juliani.

Katika mahojiano na redio USIU ya nchini humo, alisema anapotaka kusaka mkwanja ataendelea kuusaka na hatotumia muda wake kujibizana.

 

9 years ago

Bongo5

Music: Linex Ft Baraka Da Prince — Because Of You

Wimbo mpya wa msanii Linex unaitwa “Because Of You” amemshirikisha Baraka Da Prince Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Bongo5

New Video: Linex Feat. Diamond Platnumz — Salima

Video mpya kutoka kwa msanii Linex akimshirikisha Diamond Platnumz wimbo unaitwa “Salima” video imeongozwa na Adam Juma

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani