New Video: Linex Feat. Diamond Platnumz — Salima
Video mpya kutoka kwa msanii Linex akimshirikisha Diamond Platnumz wimbo unaitwa “Salima” video imeongozwa na Adam Juma
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/dQ9Ad4Iser4/default.jpg)
10 years ago
GPL13 Mar
10 years ago
Dewji Blog12 Mar
Hatimaye Linex aachia wimbo wake mpya ‘Salima’ akimshirikisha Diamond Platnumz, usikilize hapa
Pichani ni Linex na Diamond Platnumz wakati wa utengenezaji wa video ya ‘Salima’.
Linex akimshirikisha Diamond Platnumz katika wimbo wake mpya Salima ambao leo hii ameuachia katika media mbalimbali. Video na audio ametoa kwa pamoja, Linex anaonekana kutulia sana katika wimbo huu, kama kawaida yake ametumia lugha 3 ndani ya wimbo, amepanga mashairi mazito yenye hisia hakika wimbo upo sawa, na utunzi na ghani za mashairi yamepangiliwa katika ubora wa aina yake, lugha imetumika kihufasaha ...
10 years ago
Michuzi11 Mar
11 years ago
GPL07 Jul