LINEX SUNDAY MJEDA - WEMA KWA UBAYA (OFFICIAL VIDEO)
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo502 Sep
New Music Video: Linex — Wema Kwa Ubaya
10 years ago
Bongo522 Aug
Video: Tazama teaser ya video mpya wa Linex ‘Wema Kwa Ubaya’
9 years ago
Mtanzania01 Sep
Linex Mjeda ahofia kuwa baba wa kambo
MSANII wa Bongo Fleva, Linex Mjeda baada ya kukosa mchumba kwa muda mrefu amehofia kuwa baba wa kambo kutokana na kukutana na wasichana wenye ujauzito mara kwa mara kama alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram.
“Nina mashaka na mpango wa Mungu, jua linawaka linazama sipati mchumba lakini kila nikijaribu kurusha kete yangu sehemu nakuta mtoto wa watu siku nyingi tayari ana ujauzito alafu hayupo sawa na jamaa aliyempa huo ujauzito, sasa hii maana yake nini jamani? Nauona kabisa ubaba wa...
10 years ago
GPL18 Jun
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/dQ9Ad4Iser4/default.jpg)
10 years ago
GPL13 Mar
9 years ago
Mtanzania26 Nov
Octopizzo: Sitajibu ubaya kwa ubaya
MSANII wa Kenya, Octopizzo amesema hatorekodi wimbo wa kuponda wabaya wake kwa kuwa kuendeleza ubaya kwa ubaya ni kupoteza muda bure.
Mwana hip hop huyo wa Kenya alikuwa katika majibizano makali na wasanii wenzake wa hip hop nchini humo; King Kaka, Jones, Khaligraph na Juliani.
Katika mahojiano na redio USIU ya nchini humo, alisema anapotaka kusaka mkwanja ataendelea kuusaka na hatotumia muda wake kujibizana.