Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Linex Mjeda ahofia kuwa baba wa kambo

LinexMSANII wa Bongo Fleva, Linex Mjeda baada ya kukosa mchumba kwa muda mrefu amehofia kuwa baba wa kambo kutokana na kukutana na wasichana wenye ujauzito mara kwa mara kama alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram.

“Nina mashaka na mpango wa Mungu, jua linawaka linazama sipati mchumba lakini kila nikijaribu kurusha kete yangu sehemu nakuta mtoto wa watu siku nyingi tayari ana ujauzito alafu hayupo sawa na jamaa aliyempa huo ujauzito, sasa hii maana yake nini jamani? Nauona kabisa ubaba wa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Baba wa kambo wa Kim Kardashian na aliyemlea, Bruce Jenner anajibadilisha kuwa mwanamke!

Baba wa kambo wa Kim Kardashian ambaye ni baba mzazi wa Kendall na Kyle, Bruce Jenner yupo kwenye mchakato wa kujibadilisha kuwa mwanamke, kwa mujibu wa People. Taarifa hiyo imetolewa na mtu wa familia yake na kwamba ni mtu mwenye furaha na wanae wamekubaliana na hilo. Mchakato huo wa kubadilika kuwa mwanamke unatengenezwa makala maalum […]

 

10 years ago

GPL

MTOTO ALIVYONYONGWA NA BABA WA KAMBO

Na Dustan Shekidele, MOROGORO JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia Zamili Shabani kwa madai ya kumnyonga hadi kumuua mtoto wake wa kambo, (mwaka mmoja na nusu) huku mauaji hayo yakihusishwa na wivu wa mapenzi.   Abdulrahman Hamis Clemensi enzi za uhai wake. Tukio hilo la ajabu lililowaacha vinywa wazi wakazi wa eneo hilo lilijiri saa 6 mchana wa Desemba 2, mwaka huu kwenye nyumba waliopanga wanandoa hao, Zamili...

 

9 years ago

Mwananchi

Baba wa kambo ambaka binti yake

Watoto wawili wenye umri wa miaka 13 wamebakwa kwa nyakati tofauti, huku mmoja akidaiwa kufanyiwa ukatili huo na baba yake wa kambo.

 

10 years ago

GPL

BABA ALIYEMBAKA BINTI YAKE WA KAMBO AKAMATWA PARAGUAY

Bw. Gilberto Benitez Zarate anayedaiwa kumbaka binti yake wa kambo na kumsababishia ujauzito. ...Akihojiwa na waandishi wa habari. ...Akipelekwa kituo cha Polisi. Asuncion, Paraguay
GILBERTO Benitez Zarate wa Paraguay amekamatwa akishitakiwa kwa kumbaka na kumpa…

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanzilishi wa Facebook kuwa baba

Mwanzilishi wa mtandao wa facebook Mark Zickerberg na mkewe Priscilla Chan wanatarajia mtoto wa kike.

 

10 years ago

CloudsFM

Niko tayari kuwa Baba wakambo wa Watoto wa Salima

Msanii wa muziki wa bongo fleva Sunday Mjeda maarufu kama Linex ambaye anatamba kwa sasa na wimbo wake mpya wa Salima leo amefunguka kupitia kipindi cha Clouds360 na kusema idea ya wimbo huo imetokana na salma ambaye alikuwa rafiki yake wakati anasoma Shule ya msingi na alikuwa msaada wake katika baadhi ya vitu vya shule Linex aliendelea kufunguka na kusema Anatamani siku moja aje kuwa Baba wa kambo wa watoto wa salima kwani anaona anampenda salima kiukweli japo Salima hataki ata kuongea...

 

9 years ago

Bongo5

Nisher: Sasa hivi nina mchumba na mwakani natarajia kuwa baba

nisher na mchumba-4

Muongozaji wa video nchini , Nisher David George maarufu kama Nisher ameweka wazi kuwa mchumba wake ambaye ameanza kumuweka hadharani hivi karibuni ni mjamzito.

nisher na mchumba-4

Nisher ameiambia Bongo5 kuwa ‘baby’ wake aitwaye Sandra ni mjamzito wa mwezi mmoja na nusu hivyo wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza mwakani 2016.

nisher na mchumba-5

Ukitembelea akaunti za mitandao ya kijamii za Nisher na mrembo huyo utagundua ‘love is in the air’, kutokana na wote kupost picha nyingi za pamoja kitu ambacho zamani Nisher...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu Amsifia Chaz Baba Kuwa Ndiye Aliyekuwa Mwanaume wa Kweli!

Mrembo na Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu amekanusha kurudiana na mpenzi wake wa zamani Chaz Baba japo amedai kuwa muimbaji huyo wa muziki wa band ndiye mwanaume wa pekee ambaye hakuwa na masuala ya kiswazi baada ya kuachana.

Wema ameiambia U Heard ya Clouds FM Jumatano hii kuwa Chaz Baba kwa sasa ni mshkaji wake na hata alipooa alimchangia pesa.

“Chaz Baba alikuwa ni msikaji wangu naweza kusema ndio boyfriend pekee asiye na mambo ya Kiswahili,” amesema. “Tulizinguana tukafika pointi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani