Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baba wa kambo wa Kim Kardashian na aliyemlea, Bruce Jenner anajibadilisha kuwa mwanamke!

Baba wa kambo wa Kim Kardashian ambaye ni baba mzazi wa Kendall na Kyle, Bruce Jenner yupo kwenye mchakato wa kujibadilisha kuwa mwanamke, kwa mujibu wa People. Taarifa hiyo imetolewa na mtu wa familia yake na kwamba ni mtu mwenye furaha na wanae wamekubaliana na hilo. Mchakato huo wa kubadilika kuwa mwanamke unatengenezwa makala maalum […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Showbiz Cheat Sheet

Why Did Kris Jenner Offer Kim Kardashian West $400k to Walk in a Fashion Show?

Why Did Kris Jenner Offer Kim Kardashian West $400k to Walk in a Fashion Show?  Showbiz Cheat SheetWhat Kylie Jenner and Travis Scott's Relationship Is Like During Quarantine  ELLE.comKylie Jenner gets criticized by supermodel sister Kendall for her catwalk style  Daily MailKylie Jenner's Adorable Photo of Stormi In the Bathtub Is Just What Her Fans Needed: 'This Makes Me So Happy'  Showbiz Cheat SheetKylie Jenner’s Bubbly Photo of Stormi Webster Will Make You Smile  E! OnlineView Full...

 

10 years ago

Bongo5

Mdogo wake na Kim Kardashian, Kendall Jenner anamzimia Chris Brown, huenda akampiku Karrueche Tran

Mdogo wake na Kim Kardashian, Kendall Jenner anadaiwa kumzimikia Chris Brown. Kuanzia Kulia: Trey Songz, Kendall Jenner, Chris Brown na Kyle Jenner Model huyo mwenye miaka 19, amekuwa akionekana kwenye picha akila bata na staa huyo miezi ya hivi karibuni na anaamini kuupeleka uhusiano wao kwenye hatua ya juu zaidi. Anasemekana kufanya kila awezalo kufanikisha […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Babaake Kim Kardashian sasa ni mwanamke

Baba wa kambo wa familia ya Kardashian, Bruce Jenner ambaye aliwahi kuwa mwanariadha shupavu amejibadilisha na kuwa mwanamke

 

9 years ago

Mtanzania

Linex Mjeda ahofia kuwa baba wa kambo

LinexMSANII wa Bongo Fleva, Linex Mjeda baada ya kukosa mchumba kwa muda mrefu amehofia kuwa baba wa kambo kutokana na kukutana na wasichana wenye ujauzito mara kwa mara kama alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram.

“Nina mashaka na mpango wa Mungu, jua linawaka linazama sipati mchumba lakini kila nikijaribu kurusha kete yangu sehemu nakuta mtoto wa watu siku nyingi tayari ana ujauzito alafu hayupo sawa na jamaa aliyempa huo ujauzito, sasa hii maana yake nini jamani? Nauona kabisa ubaba wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kim Yo-jong: Mwanamke mwenye uwezo mkubwa anayeonekana kuwa mrithi wa Kim Jong-un Korea Kaskazini

Uhusiano wa karibu na nduguye na majukumu yake makubwa katika ngazi za kisiasa yamemfanya kuangaziwa tena mwezi Aprili 2020 katika kipindi ambapo Kim Jong un alitoweka katika hafla za umma

 

9 years ago

Bongo5

Nachukia sana kuwa mjamzito — Kim Kardashian

Mke wa rapper Kanye West, Kim Kardashian ameandika kwenye website yake jinsi anavyochukia kuwa mjamzito, licha ya kuwa sasa ni mjamzito na anategemea kujifungua December 25. Katika post hiyo, Kim K (34) aliandika kuwa anashangaa watu ambao huwa wana enjoy hali ya ujauzito akiwemo mama yake na dada yake Kourtney, kitu ambacho kwake ni tofauti. […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Bruce Jenner sasa ajiita Caytlin

Mnamo mwezi Aprili Bruce Jenner alijibadilisha maumbile katika mahojiano na Diane Sawyer wa ABC.

 

10 years ago

Bongo5

Kim Kardashian akanusha tetesi za kuwa mjamzito, asifia wimbo mpya wa Kanye

Kim Kardashian ameuanza mwaka mpya kwa kusafisha tetesi zilizosambaa mtandaoni mwishoni mwa 2014 kuwa huenda akawa na ujauzito wa mdogo wake North. Kupitia Twitter Kim K aliandika: “Ngoja tusafishe baadhi ya tetesi kabla ya mwaka mpya …. Nimechoka kuona mtandaoni na kiukweli sijui wanayatoa wapi mambo haya!” aliendelea kwenye tweet nyingine, “hapana mimi sio mjamzito”, […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani