Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Babaake Kim Kardashian sasa ni mwanamke

Baba wa kambo wa familia ya Kardashian, Bruce Jenner ambaye aliwahi kuwa mwanariadha shupavu amejibadilisha na kuwa mwanamke

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Baba wa kambo wa Kim Kardashian na aliyemlea, Bruce Jenner anajibadilisha kuwa mwanamke!

Baba wa kambo wa Kim Kardashian ambaye ni baba mzazi wa Kendall na Kyle, Bruce Jenner yupo kwenye mchakato wa kujibadilisha kuwa mwanamke, kwa mujibu wa People. Taarifa hiyo imetolewa na mtu wa familia yake na kwamba ni mtu mwenye furaha na wanae wamekubaliana na hilo. Mchakato huo wa kubadilika kuwa mwanamke unatengenezwa makala maalum […]

 

5 years ago

Showbiz Cheat Sheet

Kardashian Fans Think Kourtney and Kim Kardashian are the Most 'Naturally Beautiful' of Their Sisters

Kardashian Fans Think Kourtney and Kim Kardashian are the Most 'Naturally Beautiful' of Their Sisters  Showbiz Cheat SheetKourtney Kardashian Reacts Kylie Jenner & Travis Scott Getting Exposed By Mason Disick  HollywoodLifeWhy Kourtney Kardashian Made Mason Disick Delete His Instagram  E! NEWSMason Disick just spilled the tea about Kylie Jenner and Travis Scott  cosmopolitan.comKim Kardashian Shades Kylie Jenner & Kendall Jenner In New Video  HollywoodLifeView Full coverage on Google...

 

5 years ago

Cosmopolitan.Com

Kim Kardashian and Kourtney Kardashian Are "Embarrassed" About Their 'KUWTK' Fight

Kim Kardashian and Kourtney Kardashian Are "Embarrassed" About Their 'KUWTK' Fight  Cosmopolitan.comKhloé Kardashian would ‘demolish Kourtney if they ever fight  Geo NewsKourtney Kardashian and Scott Disick's Co-Parenting Might Be 'Just For Show' According to Fans  Showbiz Cheat SheetKendall Jenner thinks Kourtney Kardashian’s breakup with Scott Disick is the reason behind her family feud  PINKVILLAKourtney Kardashian defends her stance on motherhood: ‘raising children is a job  Geo NewsView...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kim Yo-jong: Mwanamke mwenye uwezo mkubwa anayeonekana kuwa mrithi wa Kim Jong-un Korea Kaskazini

Uhusiano wa karibu na nduguye na majukumu yake makubwa katika ngazi za kisiasa yamemfanya kuangaziwa tena mwezi Aprili 2020 katika kipindi ambapo Kim Jong un alitoweka katika hafla za umma

 

10 years ago

BBCSwahili

Kim kardashian ni mjamzito

Nyota wa kipindi cha runinga nchini Marekani ambaye ameolewa na msanii Kanye West amefichua katika kipindi cha keeping up with the Kardashian kwamba ni mjamzito.

 

10 years ago

GPL

MDOGO WA KIM KARDASHIAN ACHUMBIWA

Mdogo wa mtangazaji maarufu wa kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian, Kylie Jenner. New York, Marekani
MDOGO wa mtangazaji maarufu wa kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian, Kylie Jenner amevalishwa pete kisiri na mchumba wake ambaye ni rapa, Tyga. Pete aliyovishwa na mpenzi wake, Tyga. Chanzo makini kinafunguka kuwa, bidada huyo mwenye miaka 17 amekuwa na amani tele… ...

 

10 years ago

GPL

KIM KARDASHIAN AMHAIBISHA MUMEWE

Mwanamitindo wa Marekani, Kim Kardashian. New York Marekani
Mashabiki wa Kim Kardashian, wameshangaa kitendo cha yeye kutoka nyimbani bila kuvaa Bra na kudai kuwa ni kumuhaibisha mume wake kwani hii si mara ya kwanza. Papararazi walimpiga picha Kim akionekana kutovaa sidiria huku mtaani wakijiuliza kulikoni mume wake hamuoni au ni mtu asiyejali na kumpachika jina la ‘Mastermind’. “Kivazi hiki kimekuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani