KIM KARDASHIAN AMHAIBISHA MUMEWE
![](http://api.ning.com:80/files/wElhaJF9fXJJJgF312IHxRvcIcI6*813pduOhu9yS18A8Vnyk*Dr98FHpe2M63HaeVllkFKOSAhiY2gXgORXUOURkrK6jtMp/kim_kardashianzz.jpg?width=650)
Mwanamitindo wa Marekani, Kim Kardashian. New York Marekani Mashabiki wa Kim Kardashian, wameshangaa kitendo cha yeye kutoka nyimbani bila kuvaa Bra na kudai kuwa ni kumuhaibisha mume wake kwani hii si mara ya kwanza. Papararazi walimpiga picha Kim akionekana kutovaa sidiria huku mtaani wakijiuliza kulikoni mume wake hamuoni au ni mtu asiyejali na kumpachika jina la ‘Mastermind’. “Kivazi hiki kimekuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/Kris-Jenner-Photos.jpg)
BAADA YA MUMEWE KUBADILI JINSIA... MAMA KIM: NATAKA NIITWE KARDASHIAN
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nII-N*HRVI3c94kVNJlRTuB47rSm9uY7WkG0wSze9*SS3u29uzoBjU6XaqdLgw3WGfxNMc6aqZcIukT0QXUAXmfrGmMJ4pZp/Time100gala21.jpg?width=650)
KIM KARDASHIAN NA MUMEWE WANG'ARA KWENYE SHEREHE ZA JARIDA LA TIMES
5 years ago
Showbiz Cheat Sheet27 Mar
Kardashian Fans Think Kourtney and Kim Kardashian are the Most 'Naturally Beautiful' of Their Sisters
5 years ago
Cosmopolitan.Com05 Apr
Kim Kardashian and Kourtney Kardashian Are "Embarrassed" About Their 'KUWTK' Fight
10 years ago
BBCSwahili01 Jun
Kim kardashian ni mjamzito
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pHhBdYiNnuLxX2gTZNwFkkccX2zbw5vd7DPdVHnf2oATGRviYUq3oRVqJvNFIcNHbOmIlJ8MAvb*WsIQgGD5xfF-5KtRQexf/KylieJennerMakeup2014AmericanMusicAwards.jpg?width=650)
MDOGO WA KIM KARDASHIAN ACHUMBIWA
9 years ago
Mtanzania24 Aug
Kim Kardashian: Tumbo linanisumbua
NEW YORK, Marekani
MKE wa msanii wa hip hop, Kanye West, Kim Kardashian, amesema kwa sasa tumbo lake linaanza kumsumbua kutokana na ujauzito wake wa mtoto mpya.
Kim anatarajia kupata mtoto wa pili huku mtoto wa kwanza akijulikana kwa jina la North, hivyo ujauzito alionao unaelekea mwishoni kupata mtoto wa pili.
“Nguo zangu nyingi kwa sasa zinanibana kutokana na tumbo kuwa kubwa, hiyo ni dalili ya kuwa mtoto anaendelea vizuri.
“Natarajia kuwa na mtoto wa pili muda wowote Mungu akipenda na...