BABA ALIYEMBAKA BINTI YAKE WA KAMBO AKAMATWA PARAGUAY
![](http://api.ning.com:80/files/XkRrFz4ymKk-JL1XS8hbUF8b9QcSkmEmDTFtFbbdHefp7qtOJuQwXBlrCF5ZnTuNozcl05cFn-VZwoId0G4M-tuDRtXdtS7S/963553224e8230f75e11e49416e181221d5c3b.jpg)
Bw. Gilberto Benitez Zarate anayedaiwa kumbaka binti yake wa kambo na kumsababishia ujauzito. ...Akihojiwa na waandishi wa habari. ...Akipelekwa kituo cha Polisi. Asuncion, Paraguay GILBERTO Benitez Zarate wa Paraguay amekamatwa akishitakiwa kwa kumbaka na kumpa…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi24 Nov
Baba wa kambo ambaka binti yake
10 years ago
Mwananchi24 Aug
Kila baba anatakiwa atoe somo kwa binti yake
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3WL4yNYnOoZMXKJh0NS6QL-QC1NYFWPzRAdUetAGbvp1HgbNWR6CenaUHj50htqvhlIeeL8PDo1iK824qCl9QmfPOntsorTP/9000.jpg?width=650)
MTOTO ALIVYONYONGWA NA BABA WA KAMBO
9 years ago
Mtanzania01 Sep
Linex Mjeda ahofia kuwa baba wa kambo
MSANII wa Bongo Fleva, Linex Mjeda baada ya kukosa mchumba kwa muda mrefu amehofia kuwa baba wa kambo kutokana na kukutana na wasichana wenye ujauzito mara kwa mara kama alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram.
“Nina mashaka na mpango wa Mungu, jua linawaka linazama sipati mchumba lakini kila nikijaribu kurusha kete yangu sehemu nakuta mtoto wa watu siku nyingi tayari ana ujauzito alafu hayupo sawa na jamaa aliyempa huo ujauzito, sasa hii maana yake nini jamani? Nauona kabisa ubaba wa...
10 years ago
Bongo531 Jan
Baba wa kambo wa Kim Kardashian na aliyemlea, Bruce Jenner anajibadilisha kuwa mwanamke!
11 years ago
Mwananchi09 Jun
Baba adaiwa kuishi kinyumba na binti zake
11 years ago
Dewji Blog09 Aug
Baba adaiwa kumbaka binti na kumpa ujauzito
Na Mwandishi wetu
SERIKALI ya Kijiji cha Bwekela,Kitongoji cha Mwina, kata ya Igoweko,wilayani Igunga, Mkoa wa Tabora inamtafuta mkazi mmoja wa Kijiji hicho, Kashinje Shima kwa tuhuma za kumbaka na kumpa mimba mtoto wake wa kike,Mbalu Kashinde mwenye umri wa miaka 17.
Mama mzazi wa mtoto huyo,Jeni Njiro alisema tukio hilo lilitokea Julai,23,mwaka huu baada ya binti huyo kugundulika kuwa na ujauzito wa miezi saba sasa.
Alisema kabla ya kugundua kitendo hicho cha kinyama kilichokuwa...
11 years ago
Habarileo18 Jul
Baba wa binti aliyefanya vyema kidato cha 6 atoa ya moyoni
BABA wa mwanafunzi aliyefanya vizuri katika mtihani wa kidato cha sita na kushika nafasi ya pili kitaifa masomo ya sayansi, Doris Noah amesema mtoto wake ana ndoto ya kuwa rubani lakini bado hakubaliani na maamuzi yake.
11 years ago
Michuzi31 May
ajabu na kweli: baba na binti waendesha ndege ya abiria ya Kenya Airways pamoja