Baba adaiwa kumbaka binti na kumpa ujauzito
Na Mwandishi wetu
SERIKALI ya Kijiji cha Bwekela,Kitongoji cha Mwina, kata ya Igoweko,wilayani Igunga, Mkoa wa Tabora inamtafuta mkazi mmoja wa Kijiji hicho, Kashinje Shima kwa tuhuma za kumbaka na kumpa mimba mtoto wake wa kike,Mbalu Kashinde mwenye umri wa miaka 17.
Mama mzazi wa mtoto huyo,Jeni Njiro alisema tukio hilo lilitokea Julai,23,mwaka huu baada ya binti huyo kugundulika kuwa na ujauzito wa miezi saba sasa.
Alisema kabla ya kugundua kitendo hicho cha kinyama kilichokuwa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo04 Jul
Adaiwa kubaka, kumpa ujauzito mwanafunzi
MKAZI wa kijiji cha Kasovo, Joseph Ayoub (20) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Nkasi kujibu mashitaka mawili ya kumbaka na kumpatia ujauzito mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 17.
11 years ago
Mwananchi09 Jun
Baba adaiwa kuishi kinyumba na binti zake
11 years ago
Mwananchi28 May
Mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye
11 years ago
GPLBABU MIAKA 80 ADAIWA KUMBAKA MJUKUU WAKE
11 years ago
Mwananchi28 May
Mume wa mwimbaji nguli wa Injili adaiwa kumbaka shemejiye
9 years ago
Bongo525 Nov
Alikiba akanusha tetesi za kumpa ujauzito Jokate
Staa wa Bongo fleva, Alikiba amekanusha taarifa zilizoandikwa na moja ya magazeti ya udaku hivi karibuni, kuwa amempa ujauzito Jokate Mwegelo.
Hivi ndivyo ilivyoandikwa:
“Wakati Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu akihaha kuhakikisha anaitwa mama, habari ‘exclusive’ iliyotua kwenye meza ya gazeti hili inadai kuwa, mwanamitindo anayefanya pia muziki na filamu, Jokate Mwegelo amenasa ujauzito huku muhusika mkuu wa mzigo huo akidaiwa kuwa ni mpenzi wake wa sasa, Ali Saleh Kiba ‘Ali...
11 years ago
CloudsFM29 May
MUME WA MWANAMUZIKI WA NYIMBO ZA INJILI ADAIWA KUMBAKA SHEMEJI YAKE WA MIAKA 17
Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, (jina tunalihifadhi kwa sasa), anatuhumiwa kumbaka shemeji yake mdogo (17).
Taarifa za tukio hilo ziliripotiwa juzi saa 12 jioni katika Kituo cha Polisi Tabata (Tabata Shule), zikimtuhumu mwanamume huyo kwamba alimbaka binti huyo mara tatu na kumsababishia maumivu makali.
Binti huyo alifika katika kituo hicho cha polisi akiwa na ndugu zake wawili ambao walilalamika kwamba kulikuwa na jitihada kubwa kutoka upande wa mtuhumiwa wa kuzima kesi hiyo.
...
10 years ago
GPLBWANA WA WASTARA ADAIWA KUMPA MIMBA MHUDUMU
10 years ago
Habarileo22 Aug
Adaiwa kukata mkono wa binti albino
MKAZI wa Kata ya Usinge, Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, John Fumbuka, amefikishwa mahakamani kwa mashitaka ya kujaribu kumuua binti wa miaka 15 ambaye ni albino.