Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BWANA WA WASTARA ADAIWA KUMPA MIMBA MHUDUMU

Na Gladness Mallya na Hamida Hassan
MSANII wa filamu za Kibongo ambaye ni Mtangazaji wa Channel Ten, Bond Bin Sinan, anadaiwa kumpa mimba mhudumu wa baa maarufu ya Break Point (BP) iliyopo Kijitonyama, Dar, anayejulikana kwa jina moja la Grace (pichani). Mhudumu wa baa anayejulikana kwa jina moja la Grace anayedaiwa kupewa mimba na Msanii wa filamu za Kibongo, Bond bin… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Adaiwa kubaka, kumpa ujauzito mwanafunzi

MKAZI wa kijiji cha Kasovo, Joseph Ayoub (20) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Nkasi kujibu mashitaka mawili ya kumbaka na kumpatia ujauzito mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 17.

 

11 years ago

Dewji Blog

Baba adaiwa kumbaka binti na kumpa ujauzito

girl raped

Na Mwandishi wetu

SERIKALI ya Kijiji cha Bwekela,Kitongoji cha Mwina, kata ya Igoweko,wilayani Igunga, Mkoa wa  Tabora inamtafuta mkazi mmoja wa Kijiji hicho, Kashinje Shima kwa tuhuma za kumbaka na kumpa mimba mtoto wake wa kike,Mbalu Kashinde mwenye umri wa miaka 17.

Mama mzazi wa mtoto huyo,Jeni Njiro alisema tukio hilo lilitokea Julai,23,mwaka huu baada ya binti huyo kugundulika kuwa na ujauzito wa miezi saba sasa.

Alisema kabla ya kugundua kitendo hicho cha kinyama kilichokuwa...

 

11 years ago

GPL

ANAYEDAIWA KUMPA MIMBA MBWA KORTINI

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’
LILE sakata la mume aliyetajwa kwa jina la Hamis Juma (pichani akiwa na mkewe), mkazi  wa Majohe Mji Mpya, Ilala jijini Dar kudaiwa na mkewe, Cecilia Hamis kwamba amempa mimba  mbwa yameibuka mapya, Uwazi limeyanyaka. Cecilia Hamis (kulia) akiwa na mume wake (mtuhumiwa) Hamis Juma. Ijumaa iliyopita, Uwazi lilifika kwenye ofisi za Taasisi ya Kutetea Haki za Wanyama ambapo...

 

10 years ago

GPL

WOLPER AMPIGA MIZINGA BWANA WA WASTARA

Stori:MWANDISHI WETU/Risasi
AIBU! Staa wa sinema  za Kibongo, Jacqueline Wolper amedaiwa kuwa na tabia ya kumpiga mizinga (kuomba fedha) mume mtarajiwa wa mwigizaji Wastara Juma, Mark Edi. Staa wa sinema  za Kibongo, Jacqueline Wolper. Chanzo makini kilicho karibu na Mark ambaye ni mfanyabiashara mwenye maduka ya nguo jijini Dar, kimepenyeza habari kuwa, kabla ya kuanzisha uhusiano na Wastara, Mark alikuwa na uhusiano na...

 

11 years ago

Habarileo

Jela miaka 10 kwa kumpa mimba mwanafunzi

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dodoma imemhukumu mfanyabiashara wa mbuzi, Adam Shaban Hole (46) kwenda jela miaka 10 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumpa mimba mwanafunzi, kushiriki kumtoa mimba na kusababisha kifo chake.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwalimu jela kwa kumpa mimba mwanafunzi

Mahakama wilayani Mbozi mkoani Mbeya, imemhukumu Mwalimu wa Shule ya Sekondari Mbozi, Hilary Mwampangala miaka minne jela baada ya kumpa mimba mwanafunzi.

 

11 years ago

Habarileo

Atupwa jela miaka 65 kwa kumpa mimba mwanawe

MKAZI wa Mtaa wa Uhamila katika mji mdogo wa Rujewa, mkoani Mbeya, amehukumiwa miaka 65 jela kutokana na makosa matatu tofauti, yaliyotokana na kumpa ujauzito mwanawe wa kumzaa.

 

9 years ago

Bongo5

Daktari Bingwa adaiwa kumpa Diamond mamilioni kwa kazi hii

12346294_1699335430289433_1328544037_n

Ile kauli ‘fedha huenda kwa wenye nazo’ haikukosewa sababu huo ndio ukweli.

12346294_1699335430289433_1328544037_n

Si kawaida kwa wasanii wa Tanzania kulipwa fedha wakati wanapokuwa wakiachia single zao lakini sio kwa Diamond.

Wakati ambapo mashabiki wake wanasubiria kwa hamu wimbo wake mpya Utanipenda! unaotoka Ijumaa hii, imebainika kuwa daktari bingwa wa magonjwa ya uzazi, Dr Mwaka amemmwagia Diamond mamilioni ya fedha ili kuitangaza kliniki yake iliyopo Ilala Bungoni.

Taarifa hizo zinadai kuwa hiyo ni sababu pia Diamond...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani