WOLPER AMPIGA MIZINGA BWANA WA WASTARA

Stori:MWANDISHI WETU/Risasi AIBU! Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amedaiwa kuwa na tabia ya kumpiga mizinga (kuomba fedha) mume mtarajiwa wa mwigizaji Wastara Juma, Mark Edi. Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper. Chanzo makini kilicho karibu na Mark ambaye ni mfanyabiashara mwenye maduka ya nguo jijini Dar, kimepenyeza habari kuwa, kabla ya kuanzisha uhusiano na Wastara, Mark alikuwa na uhusiano na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies21 Mar
Ubuyu Kuhusu Wolper Kumpiga Mizinga Bwana wa Wastara Huu Hapa
Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper amedaiwa kuwa na tabia ya kumpiga mizinga (kuomba fedha) mume mtarajiwa wa mwigizaji Wastara Juma, Mark Edi.
Kwa mujibu wa gazeti la Risasi, chanzo chao makini makini kilicho karibu na Mark ambaye ni mfanyabiashara mwenye maduka ya nguo jijini Dar, kilidokeza kuwa, kabla ya kuanzisha uhusiano na Wastara, Mark alikuwa na uhusiano na Wolper lakini alimshindwa kutokana na tabia hiyo ya kupiga mizinga.
“Yaani Wolper ni balaa, anampiga sana...
10 years ago
Bongo Movies25 Mar
Baada ya Kusambaa kwa Stori ya Kutoka na Aliekuwa Bwana wa Wolper , Wastara Amesema Haya
Kupitia ukurasa wake wa ‘fesibuku’ Wastara amendika;
“Kalamu ya muandishi imegeuka kuwa fimbo ya wanyonge tofauti na miaka ya nyuma,wanaandishi wanakula mishahara mara mbili wa kituoa anachofanyia kazi na wamtu anaempa habari,hivyo kuandika anachoambiwa sio anachokiona
Pesa inatumika kupotosha ukweli na ukweli ndio uongo waleo,nimeamini maneno yangekuwa sumu ningeshakufa zamani sana lakini kwakua mdomo nyumba ya maneno bado niko hai
Tupendane tushikamane na tuishi kwa usawa usipende kuonea...
10 years ago
GPL
WASTARA AMPIGA MSASA BONDI
11 years ago
GPL
WOLPER JIHESHIMU BWANA
11 years ago
GPL
BWANA WA WASTARA ADAIWA KUMPA MIMBA MHUDUMU
10 years ago
GPL
WOLPER ADAIWA KUPORA BWANA WA LUNGI, AJITETEA
10 years ago
Bongo Movies23 Mar
Mtazamo:Ukistaajabu ya Kajala na Wema, utayaona ya Wastara na Wolper
Kweli nimeamini samaki mmoja akioza wote huoza, hadi wewe wastara? Hukumbuki wolper alivyohangaika na marehemu mume wako? Dada wa watu akajitolea mamilion ili mume wako akatibiwe India? Umesahau wema wote hadi ukalia nachozi na kumuona wolper ni Mungu mtu?
Pesa tu ndio zinakutoa utu na kukufanya uumize moyo wa mwanamke mwenzio aliyejitolea wakati una shida ili aokoe maisha ya mume wako kipenzi japokuwa haikuwezekana (Mungu ailaze roho ya marehemu peponi ), inasikitisha na kuumiza sana, kuna...
10 years ago
Dewji Blog02 Jul
Makala ya kuongeza uzalishaji mazao ya Nyuki kwa kutumia mizinga ya kisasa na kuondokana na mizinga ya asili katika mkoa wa Singida
Na Jumbe Ismailly, Singida
HALMASHAURI ya wilaya ya Singida ina ukubwa wa kilomita za mraba 3,787 ambazo wananchi wake hujishughulisha na kilimo na ufugaji.
Mazao ya chakula na biashara yanayolimwa na wananchi hao ni pamoja na mtama,uwele,alzeti,vitunguu na dengu na zao la kipaumbele ni asali kwa ajili ya chakula na biashara.
Halmashauri ya wilaya ya Singida ina maeneo mapana ya ufugaji nyuki ikiwemo misitu ya watu binafsi na misitu ya ardhi ya Kijiji ukiwemo msitu wa Hifadhi wa...