WOLPER JIHESHIMU BWANA
![](http://api.ning.com:80/files/U8LSueg-IYo91VqBLgljousQkE7-Wu0ermcxofeuBwACNuCOSokqJFSszrM4uiVvPj0bG5DqqRS6cJLRFnRMjtZhbHk3W03X/150000080.jpg)
Kwako mtoto mzuri unayekimbiza kwenye anga la filamu Bongo, Jacqueline Massawe Wolper. Bila shaka ni mzima wa afya na unaendelea na majukumu yako ya kila siku. Binafsi mimi naendelea vizuri mambo yanakwenda kwenye mstari na leo nimekukumbuka kupitia barua nzito. Nataka kusema na wewe mawili matatu ambayo mimi nimeona si sawa kufanywa na wewe! Nisichelewe sana wala nini, madhumuni ya barua hii kwanza kabisa ni kutaka...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KhhA6XZToLrodH6PkFgsRdTYPPJ6O7agSPYMJNNBTzNqDOj6WQbdZcv2G0cRlbGBVusG7VMaCed64HwrDZH1ER-0V-Ab7EWF/1.jpg?width=650)
WOLPER AMPIGA MIZINGA BWANA WA WASTARA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jEI2iEfKUOhB63uBwXjtG3xar4ZTI2THLclXz43Nw-sjxveVV4lkxwhd1F9SIizejTTxrYYtfct-mCh1ZJSn4Hj0furS8kQ-/WOLPER.jpg?width=650)
WOLPER ADAIWA KUPORA BWANA WA LUNGI, AJITETEA
10 years ago
Bongo Movies21 Mar
Ubuyu Kuhusu Wolper Kumpiga Mizinga Bwana wa Wastara Huu Hapa
Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper amedaiwa kuwa na tabia ya kumpiga mizinga (kuomba fedha) mume mtarajiwa wa mwigizaji Wastara Juma, Mark Edi.
Kwa mujibu wa gazeti la Risasi, chanzo chao makini makini kilicho karibu na Mark ambaye ni mfanyabiashara mwenye maduka ya nguo jijini Dar, kilidokeza kuwa, kabla ya kuanzisha uhusiano na Wastara, Mark alikuwa na uhusiano na Wolper lakini alimshindwa kutokana na tabia hiyo ya kupiga mizinga.
“Yaani Wolper ni balaa, anampiga sana...
10 years ago
Bongo Movies25 Mar
Baada ya Kusambaa kwa Stori ya Kutoka na Aliekuwa Bwana wa Wolper , Wastara Amesema Haya
Kupitia ukurasa wake wa ‘fesibuku’ Wastara amendika;
“Kalamu ya muandishi imegeuka kuwa fimbo ya wanyonge tofauti na miaka ya nyuma,wanaandishi wanakula mishahara mara mbili wa kituoa anachofanyia kazi na wamtu anaempa habari,hivyo kuandika anachoambiwa sio anachokiona
Pesa inatumika kupotosha ukweli na ukweli ndio uongo waleo,nimeamini maneno yangekuwa sumu ningeshakufa zamani sana lakini kwakua mdomo nyumba ya maneno bado niko hai
Tupendane tushikamane na tuishi kwa usawa usipende kuonea...
10 years ago
VijimamboMWENYEKITI WA TAWI LA CCM NY BWANA SELF AKIDA AENDA KUTOA POLE NYUMBANI KWA BWANA KIBODYA.
Nyumbani kwa Bwana Isaac Kibondya akiongea na watu walioenda kumpa pole nyumbani kwake baada ya kufiwa na mkwe wake, Kifo kimetokea huko Tanzania siku ya Tarehe July, 16. Marehemu ni mzazi wa Mke wa Bwana Kibodya na Kama inakumbukwa wote walikuwa Tanzania kumuona marehemu akiwa anaumwa mwezi uliopita.
Mwenyekiti wa tawi la CCM New York bwana Seif Akida pamoja na Ny Ebra wote kutoka New York wakiwa nyumbani kwa bwana Kibodya Vail, Springfield. MA kutoa pole.
10 years ago
Mwananchi24 Dec
Tibaijuka: Bwana alitoa, bwana ametwaa
10 years ago
Bongo Movies15 Jan
Wolper Alia na Wolper “FEKI” Kwa Kuwachuna Watu Kwa Kutumia Jina Lake!!
"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.
Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap...
10 years ago
Mwananchi07 Aug
Yanga bwana, we acha tu