Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WOLPER ADAIWA KUPORA BWANA WA LUNGI, AJITETEA

Hamida Hassan na Gladnes Mallya Staa wa filamu za Kibongo, Lungi Maulanga amemshangaa msanii mwenzake Jacqueline Wolper kwa kutoka kimapenzi na mwanaume wake aitwaye Jimmy. Staa wa filamu za Kibongo, Jackline Wolper. Sosi wa karibu na mastaa hao alidai kuwa, baada ya hivi karubuni gazeti ndugu na hili la Risasi Jumamosi kuandika kuwa Wolper amepata kigogo mpya aitwaye Jimmy, Lungi alishangaa, akajiuliza imekuwaje tena Wolper...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SNURA ADAIWA ADAIWA KUPORA MUME WA DAVINA

HAMIDA HASSAN
Staa wa muziki wa mduara, Snura Mushi ameingia katika tuhuma nzito akidaiwa kutoka kimapenzi na mume wa rafiki yake Halima Yahya ‘Davina’.
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, kwa kipindi kirefu, Snura amekuwa akionekana nyakati za usiku akiwa na mume wa Davina, wakati mwingine mwanaume huyo anaenda nyumbani kwa Snura au wawili hao kuzungumza kwa muda mrefu ndani ya gari la mwanaume huyo. Staa wa...

 

10 years ago

GPL

LUNGI: MTU AMSHOBOKEE BWANA WANGU AONE

STORI: HAMIDA HASSAN
Staa wa filamu za Kibongo, Lungi Mwaulanga amesema mwanaume aliyezaa naye (jina ni siri yake) anampenda sana na mwanamke asiyejipenda amshobokee aone kitakachompata. Staa wa filamu za Kibongo, Lungi Mwaulanga. Akipiga stori na Ijumaa Lungi amesema anajua kuwa wapo wanawake ambao wakiamua kutembea na waume za watu hawashindwi lakini akasema, kwa bwana wake aliyezaa naye akigundua kuna anayemnyemelea,...

 

11 years ago

GPL

LULU KATIKA SKENDO YA KUPORA BWANA WA MTU

E LIZABETH Michael ‘Lulu’ anayetesa katika filamu za Kibongo, yupo kwenye bifu zito na mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2012, Husna Maulid ambaye anadai amempora bwana’ke. Staa Elizabeth Michael ‘Lulu’ katika pozi. Habari zinaeleza bifu lao limefikia hatua ya kuanikana waziwazi hadi kumwagiana matusi kwenye mitandao ya kijamii, hasa Instagram lakini huondoa majibizano yao machafu kila baada ya...

 

10 years ago

GPL

LUNGI ADAIWA KUTUPIWA JINI, APOOZA

Hamida Hassan
NYOTA wa filamu za Kibongo Lungi Maulanga hivi karibuni anadaiwa kutupiwa jini na wabaya wake wakiwemo wanafamilia yake kitendo kilichosababisha apooze upande mmoja wa mwili wake. Nyota wa filamu za Kibongo Lungi Maulanga. Chanzo makini kinasema hofu yao kubwa ni kuwa kitendo hicho kilifanywa na baadhi ya ndugu zake kufuatia tofauti zao za kifamilia zilizosababisha kufikishana mahakamani. “Katika shauri...

 

11 years ago

GPL

SHUMILETA ADAIWA KUMUUZA LUNGI KWA MWANAUME

Stori: HAMIDA HASSAN NA GLADNESS MALLYA Huku kukiwepo na madai ya baadhi ya mastaa wa Bongo kwenda nchi za nje kufanya biashara ya kujiuza, siri imevuja kuwa, staa wa filamu aliyepotea kwenye soko la filamu Bongo, Jennifer Mwaipaja ‘Shumileta’ amedaiwa kumuuza msanii mwenzake wa kike, Lungi Maulanga kwa mwanaume aishie nchini India. Lungi Maulanga. Kwa mujibu wa chanzo makini, mchongo huo ulifanyika kupitia mtandao...

 

11 years ago

GPL

MFANYABIASHARA WA MADINI ADAIWA KUPORA MKE

Stori: Joseph Ngilisho, Arusha KIGOGO wa kampuni ya kuchimba madini ya Afgem iliyopo Mererani mkoani Manyara, Abdallah Mwakaleja ‘Dullah’ (38) anadaiwa kupora mke wa mtu, Violet Herman Masawe (29) huku ikisemekana anatumia jeuri ya fedha kumnyanyasa mwenye mke. Kigogo wa kampuni ya kuchimba madini ya Afgem iliyopo Mererani mkoani Manyara, Abdallah Mwakaleja ‘Dullah’ anayedaiwa kupora mke wa mtu. ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Snura Adaiwa Kupora Mume wa Davina

Staa wa muziki wa mduara, Snura Mushi ameingia katika tuhuma nzito akidaiwa kutoka kimapenzi na mume wa rafiki yake ambae ni staa wa Bongo Movies, Halima Yahya ‘Davina’.

Kwa mujibu wa chanzo cha GPL , kwa kipindi kirefu, Snura amekuwa akionekana nyakati za usiku akiwa na mume wa Davina, wakati mwingine mwanaume huyo anaenda nyumbani kwa Snura au wawili hao kuzungumza kwa muda mrefu ndani ya gari la mwanaume huyo.

“Yaani mastaa wa Bongo bwana, wanapenda sana kuchukuliana mabwana. Huyu Snura...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwekezaji adaiwa kupora ardhi hekari 3,700

BAADHI ya wananchi wa Kijiji cha Bihata, Kata ya Kyebitembe Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, wamedai kuporwa ardhi yao ipatayo hekari 3,700 na mwekezaji, Diolex Joseph. Pia wananchi hao wanalalamikia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani