Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LUNGI: MTU AMSHOBOKEE BWANA WANGU AONE

STORI: HAMIDA HASSAN
Staa wa filamu za Kibongo, Lungi Mwaulanga amesema mwanaume aliyezaa naye (jina ni siri yake) anampenda sana na mwanamke asiyejipenda amshobokee aone kitakachompata. Staa wa filamu za Kibongo, Lungi Mwaulanga. Akipiga stori na Ijumaa Lungi amesema anajua kuwa wapo wanawake ambao wakiamua kutembea na waume za watu hawashindwi lakini akasema, kwa bwana wake aliyezaa naye akigundua kuna anayemnyemelea,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WOLPER ADAIWA KUPORA BWANA WA LUNGI, AJITETEA

Hamida Hassan na Gladnes Mallya Staa wa filamu za Kibongo, Lungi Maulanga amemshangaa msanii mwenzake Jacqueline Wolper kwa kutoka kimapenzi na mwanaume wake aitwaye Jimmy. Staa wa filamu za Kibongo, Jackline Wolper. Sosi wa karibu na mastaa hao alidai kuwa, baada ya hivi karubuni gazeti ndugu na hili la Risasi Jumamosi kuandika kuwa Wolper amepata kigogo mpya aitwaye Jimmy, Lungi alishangaa, akajiuliza imekuwaje tena Wolper...

 

10 years ago

Vijimambo

Sitaki Kumtambulisha Bwana Wangu wa Sasa, Wataniibia!!-Amanda

Mwigizaji wa filamu mwenye umbo la lenye mvuto wa aina yake, Tamrina Posh ‘Amanda’ amefunguka kuwa anaogopa kumtambulisha bwana wake wa sasa kwa kile alichodai kuwa anaogopa kuibiwa.
Akizu ngumza na paparazi wa GPL juzikati, Amanda alisema ameishi kwa muda mrefu na mpenzi wake bila kuhitilafiana kwa sababu wengi hawamjui, lakini anahofia akimuanika wasichana wataanza kumfuatafuata na kumwiba.
“Kumtambulisha bwana wangu wa sasa sitaki, naogopa wadada wa mjini hawakawii kumzengea zengea na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hapa na Pale:Sitaki Kumtambulisha Bwana Wangu wa Sasa, Wataniibia!!-Amanda

Mwigizaji wa filamu mwenye umbo la lenye mvuto wa aina yake, Tamrina Posh ‘Amanda’ amefunguka kuwa anaogopa kumtambulisha bwana wake wa sasa kwa kile alichodai kuwa anaogopa kuibiwa.

Akizu ngumza na paparazi wa GPL juzikati, Amanda alisema ameishi kwa muda mrefu na mpenzi wake bila kuhitilafiana kwa sababu wengi hawamjui, lakini anahofia akimuanika wasichana wataanza kumfuatafuata na kumwiba.

“Kumtambulisha bwana wangu wa sasa sitaki, naogopa wadada wa mjini hawakawii kumzengea zengea na...

 

11 years ago

GPL

LULU KATIKA SKENDO YA KUPORA BWANA WA MTU

E LIZABETH Michael ‘Lulu’ anayetesa katika filamu za Kibongo, yupo kwenye bifu zito na mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2012, Husna Maulid ambaye anadai amempora bwana’ke. Staa Elizabeth Michael ‘Lulu’ katika pozi. Habari zinaeleza bifu lao limefikia hatua ya kuanikana waziwazi hadi kumwagiana matusi kwenye mitandao ya kijamii, hasa Instagram lakini huondoa majibizano yao machafu kila baada ya...

 

11 years ago

GPL

LULU: OLE WAKE MTU AMFUATE BWANA’NGU

Stori: Gladness Mallya YELEUUWI! Msanii asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amewatemea cheche wanaomnyemelea mpenzi wake aliyemtaja kwa jina moja la Amani, akiwataka waache mara moja kwani akiwagundua atawatembezea kichapo. Aunty Lulu. Akipiga stori na mwanahabari wetu, Aunty Lulu aliweka ‘pleini’ kuwa ameshatonywa baadhi ya majina ya wanawake japokuwa hana uhakika kama ni kweli...

 

10 years ago

Vijimambo

MIMI ‘MTU WANGU MZUNGU’ NDIYO NINI SASA? - 2


Karibuni sana wasomaji wangu wapendwa katika safu hii maalum kwa ajili ya kuelekezana mambo mbalimbali yanayohusu maisha kwa ujumla hasa upande wa mapenzi kama siyo mahaba.Mfano wa mambo hayo ni namna wenza wanaoishi na ndugu au wazazi wao wanavyopaswa kuishi kwa hekima bila kuwakwaza.

Kujiepusha na kauli zisizofaa ambazo mara nyingi zimekuwa zikiharibu uhusiano wao, kujiweka katika mazingira ya usafi wa nyumba na mavazi.Mambo mengine ni kuwa waaminifu katika uhusiano wao kwa sababu wenza...

 

9 years ago

MillardAyo

Mtu wa nguvu na watu wangu wa chuo Jana Dec 19 #TIGOuniversityVIP

Tigo imekua ikitoa nafasi za watu wa nguvu kwenye vyuo vya UDSM, IFM, CBE- DAR, Utumishi Mtwara na Mzumbe Morogoro kuenjoy weekend zao na marafiki baada ya kushinda kwenye droo ambayo inachezeshwa kutokana na Wanachuo wanaosogelea gulio la Tigo chuoni kwake na kufanya chochote kinachopatikana. Sasa usiku wa Dec 19 2015 washindi watatu kutoka kwenye […]

The post Mtu wa nguvu na watu wangu wa chuo Jana Dec 19 #TIGOuniversityVIP appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

GPL

MIMI ‘MTU WANGU MZUNGU’ NDIYO NINI SASA?

Ni Jumanne tena! Wapenzi wasomaji wa safu hii ya mapenzi na maisha, nawakaribisha leo kwa ajili ya mada nyingine ambayo ni motomoto kama ilivyo kawaida yangu. Baada ya wiki iliyopita kumalizana na mada ya kosea kuchagua kila kitu lakini siyo mwenza. Wiki hii tuna mada hii ya Mimi Mtu Wangu Mzungu. Nimekuwa nikiwasikia watu mbalimbali, wake kwa waume wakilitumia hili neno (Mzungu) japokuwa kwa upande wa wenzetu wanawake ndiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani