Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitaki Kumtambulisha Bwana Wangu wa Sasa, Wataniibia!!-Amanda

Mwigizaji wa filamu mwenye umbo la lenye mvuto wa aina yake, Tamrina Posh ‘Amanda’ amefunguka kuwa anaogopa kumtambulisha bwana wake wa sasa kwa kile alichodai kuwa anaogopa kuibiwa.
Akizu ngumza na paparazi wa GPL juzikati, Amanda alisema ameishi kwa muda mrefu na mpenzi wake bila kuhitilafiana kwa sababu wengi hawamjui, lakini anahofia akimuanika wasichana wataanza kumfuatafuata na kumwiba.
“Kumtambulisha bwana wangu wa sasa sitaki, naogopa wadada wa mjini hawakawii kumzengea zengea na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Hapa na Pale:Sitaki Kumtambulisha Bwana Wangu wa Sasa, Wataniibia!!-Amanda

Mwigizaji wa filamu mwenye umbo la lenye mvuto wa aina yake, Tamrina Posh ‘Amanda’ amefunguka kuwa anaogopa kumtambulisha bwana wake wa sasa kwa kile alichodai kuwa anaogopa kuibiwa.

Akizu ngumza na paparazi wa GPL juzikati, Amanda alisema ameishi kwa muda mrefu na mpenzi wake bila kuhitilafiana kwa sababu wengi hawamjui, lakini anahofia akimuanika wasichana wataanza kumfuatafuata na kumwiba.

“Kumtambulisha bwana wangu wa sasa sitaki, naogopa wadada wa mjini hawakawii kumzengea zengea na...

 

10 years ago

GPL

AMANDA AGOMA KUMUANIKA BWANA KISA KUIBIWA

Na Chande Abdallah/Ijumaa
Msanii wa filamu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ amefunguka kuwa anaogopa kumtambulisha bwana wake wa sasa kwa kile alichodai kuwa anaogopa kuibiwa. Msanii wa filamu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’. Akizu ngumza na paparazi wetu juzikati, Amanda alisema ameishi kwa muda mrefu na mpenzi wake bila kuhitilafiana kwa sababu wengi hawamjui, lakini anahofia akimuanika wasichana wataanza...

 

10 years ago

CloudsFM

NAY WA MITEGO: SITAKI WATOTO WANGU WAFANYE MUZIKI

Staa wa Bongo Flava ambaye ana tuzo ya wimbo bora wa Hip hop, Nay Wa Mitego amefunguka kuwa hataki watoto wake wawe wanamuziki kama yeye. ‘’Mimi ni mwanamuziki na nimepata mafanikio kupitia kazi hii lakini sitaki watoto wangu wawe wanamuziki’’,alisema Nay Wa Mitego.

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: ‘Na Mwanangu Bila Kumsahau Mkwe Wangu.. Sitaki Maswali”-JB

Hii  ni moja kai ya picha iliyofagiliwa na wengi  wiki hii huko Instagram, inajumuisha mstaa wakali kutoka Bongo Movies, JB, Ray na Wema Sepetu.

Mbali na wengi kubonyeza kitufe ya kupenda na kutupia maneno kwenye picha hii, alichokiandika JB mara baada ya kubandika picha hii ndicho kilicho changamsha genege.

JB aliandiaka;

‘Na mwanangu bila kumsahau mkwe wangu.. Sitaki maswali”

Mimi hapa nikajiongeza, hapa nazungumziwa Wema lakini ni utani tu, wewe je?.

Mzee wa Ubuyu

 

10 years ago

GPL

LUNGI: MTU AMSHOBOKEE BWANA WANGU AONE

STORI: HAMIDA HASSAN
Staa wa filamu za Kibongo, Lungi Mwaulanga amesema mwanaume aliyezaa naye (jina ni siri yake) anampenda sana na mwanamke asiyejipenda amshobokee aone kitakachompata. Staa wa filamu za Kibongo, Lungi Mwaulanga. Akipiga stori na Ijumaa Lungi amesema anajua kuwa wapo wanawake ambao wakiamua kutembea na waume za watu hawashindwi lakini akasema, kwa bwana wake aliyezaa naye akigundua kuna anayemnyemelea,...

 

10 years ago

Mwananchi

Lady Jaydee: Ni wakati wangu sasa

Baada ya tetesi kuwa ameachana na mumewe, mwanamuziki Judith Wambura maarufu Lady Jaydee amesema leo anajitokeza kwa mara ya kwanza mbele ya mashabiki wake kwani wakati wa kufanya hivyo umewadia.

 

10 years ago

Mwananchi

Ni wakati wangu sasa kupaa kimataifa

Kati ya wimbo aliouimba kwa ustadi mkubwa na ambao mashairi yake yalipambwa kwa Kiswahili fasaha ni”Nelson, Nelson Madela, mzee Madiba baba yetu…

 

10 years ago

Vijimambo

MIMI ‘MTU WANGU MZUNGU’ NDIYO NINI SASA? - 2


Karibuni sana wasomaji wangu wapendwa katika safu hii maalum kwa ajili ya kuelekezana mambo mbalimbali yanayohusu maisha kwa ujumla hasa upande wa mapenzi kama siyo mahaba.Mfano wa mambo hayo ni namna wenza wanaoishi na ndugu au wazazi wao wanavyopaswa kuishi kwa hekima bila kuwakwaza.

Kujiepusha na kauli zisizofaa ambazo mara nyingi zimekuwa zikiharibu uhusiano wao, kujiweka katika mazingira ya usafi wa nyumba na mavazi.Mambo mengine ni kuwa waaminifu katika uhusiano wao kwa sababu wenza...

 

10 years ago

Bongo5

DeeAndy: Uhusiano wangu na Godzilla una miaka 2 sasa

Hawakuwahi kusema hadharani kuhusu uhusiano wao wa kimapenzi, lakini wengi walikuwa wakiona ukaribu wa kimahaba uliopo kati ya rapper wa ‘Sala Sala’ Godzilla na mtangazaji wa Clouds FM, DeeAndy. Mtangazaji huyo wa 255 ambayo ni sehemu ya kipindi cha XXL, amelazimika kuthibitisha uhusiano wake na rapper huyo anayesherehekea siku yake ya kuzaliwa Jumatatu hii baada […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani