Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AMANDA AGOMA KUMUANIKA BWANA KISA KUIBIWA

Na Chande Abdallah/Ijumaa
Msanii wa filamu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ amefunguka kuwa anaogopa kumtambulisha bwana wake wa sasa kwa kile alichodai kuwa anaogopa kuibiwa. Msanii wa filamu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’. Akizu ngumza na paparazi wetu juzikati, Amanda alisema ameishi kwa muda mrefu na mpenzi wake bila kuhitilafiana kwa sababu wengi hawamjui, lakini anahofia akimuanika wasichana wataanza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

HUSNA, KUIBIWA BWANA’KO UJITAKIE MWENYEWE!


MAISHA ya ustaa Bongo yana mambo mengi sana yenye kuchefua nyuma ya pazia. Wakati ule nikila ujana, nilishuhudia mengi katika kumbi za starehe ambazo ziliwahusisha mastaa wa fani mbalimbali hasa muziki na filamu. Kwa mastaa wa kiume, hasa wa muziki wa kizazi kipya, wengi wao ni watu wa kutumia fedha zao kufanya yao, mitungi, mademu na starehe zingine wanazohitaji. Katika kundi hili wapo pia mastaa wa filamu wa kiume, ni...

 

10 years ago

Vijimambo

Sitaki Kumtambulisha Bwana Wangu wa Sasa, Wataniibia!!-Amanda

Mwigizaji wa filamu mwenye umbo la lenye mvuto wa aina yake, Tamrina Posh ‘Amanda’ amefunguka kuwa anaogopa kumtambulisha bwana wake wa sasa kwa kile alichodai kuwa anaogopa kuibiwa.
Akizu ngumza na paparazi wa GPL juzikati, Amanda alisema ameishi kwa muda mrefu na mpenzi wake bila kuhitilafiana kwa sababu wengi hawamjui, lakini anahofia akimuanika wasichana wataanza kumfuatafuata na kumwiba.
“Kumtambulisha bwana wangu wa sasa sitaki, naogopa wadada wa mjini hawakawii kumzengea zengea na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hapa na Pale:Sitaki Kumtambulisha Bwana Wangu wa Sasa, Wataniibia!!-Amanda

Mwigizaji wa filamu mwenye umbo la lenye mvuto wa aina yake, Tamrina Posh ‘Amanda’ amefunguka kuwa anaogopa kumtambulisha bwana wake wa sasa kwa kile alichodai kuwa anaogopa kuibiwa.

Akizu ngumza na paparazi wa GPL juzikati, Amanda alisema ameishi kwa muda mrefu na mpenzi wake bila kuhitilafiana kwa sababu wengi hawamjui, lakini anahofia akimuanika wasichana wataanza kumfuatafuata na kumwiba.

“Kumtambulisha bwana wangu wa sasa sitaki, naogopa wadada wa mjini hawakawii kumzengea zengea na...

 

10 years ago

GPL

AMANDA ACHARUKIWA KISA NGOMA

MWANDISHI WETU MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa baada ya kukanusha kuwa hana ugonjwa wa Ukimwi, mpenzi wake amemcharukia kweli akihoji kwa nini akanushe kama hana? Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’. Akizungumzia tukio hilo, Amanda alisema baada ya gazeti la Ijumaa la wiki iliyopita kuripoti akimchana shabiki aitwaye Joel ambaye aliandika...

 

10 years ago

Vijimambo

LULU MICHAEL Agoma kumtaja BABA wa Mimba yake ...Kisa Kuogopa KUROGWA

\lizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anaogopa wachawi kumtaja mhusika wa mimba aliyonayo.Lulu alifunguka hayo juzikati wakati mwanahabari wetu alipotaka kujua mhusika wa mzigo alionao ndipo msanii huyo aliposema aachwe kwanza maana wachawi ni wengi.“Mh! Naomba mniache kwanza maana mjini hapa wachawi ni wengi, mambo yakiwa freshi kila mmoja atamjua,” alisema Lulu.

 

10 years ago

GPL

WANAWAKE WASUTANA KISA KUIBIANA BWANA

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
Makubwa! Wakati Wizara ya Nishati na Madini ikiwa kwenye msukosuko wa fedha zilizochotwa ‘kihuni’ kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, mwanaume mmoja, mtumishi wa wizara hiyo mkoani hapa almaarufu Kigogo wa Escrow, amesababisha wanawake wawili kusutana kwa matarumbeta na kukabana wakidaiwa kumgombea kwani ana fedha ‘chafu’. Wakina mama, Tabu Mohamed na Mwajuma...

 

10 years ago

GPL

KISA BWANA, PENNY ADAIWA KUNYWA SUMU

Stori: MWANDISHI WETU/Risasi
MTANGAZAJI maarufu Bongo na aliyekuwa mpenzi wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amedaiwa kunywa sumu kufuatia kunyang’anywa bwana na shosti yake aliyefahamika kwa jina la Diana. Mtangazaji maarufu Bongo na aliyekuwa mpenzi wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa… ...

 

10 years ago

GPL

WASTARA KUMUANIKA MRITHI WA SAJUKI

Staa wa filamu Bongo, Wastara Juma. Stori: Imelda Mtema
STAA wa filamu Bongo, Wastara Juma, ametamka hadharani kuwa hana uhusiano wa kimapenzi na msanii yeyote ndani ya Kundi la Bongo Movie. Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Wastara alisema kuna maneno mengi yanasemwa kuwa ana uhusiano na mtu ndani ya kundi hilo kitu ambacho si sahihi, atamuanika mrithi wa marehemu Sajuki siku si nyingi. “Unajua muda...

 

9 years ago

Global Publishers

Odama kumuanika baba wa mtoto soon!

bb56d63a31a7af57Staa wa filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ Na Suzan Kayogela.

BAADA ya kukataa katukatu kumuanika baba wa mtoto, staa wa filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ kwa mara ya kwanza amesema mwaka mpya na mambo mpya na kuwa sasa yupo tayari kumuanika na soon atajulikana.

Tangu ajifungue mtoto wa kiume, Jason miaka takriban miwili iliyopita, Odama alikuwa akikataa kumuweka wazi baba wa mtoto huyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani