WANAWAKE WASUTANA KISA KUIBIANA BWANA
Stori: Dustan Shekidele, Morogoro Makubwa! Wakati Wizara ya Nishati na Madini ikiwa kwenye msukosuko wa fedha zilizochotwa ‘kihuni’ kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, mwanaume mmoja, mtumishi wa wizara hiyo mkoani hapa almaarufu Kigogo wa Escrow, amesababisha wanawake wawili kusutana kwa matarumbeta na kukabana wakidaiwa kumgombea kwani ana fedha ‘chafu’. Wakina mama, Tabu Mohamed na Mwajuma...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLAMANDA AGOMA KUMUANIKA BWANA KISA KUIBIWA
10 years ago
GPLKISA BWANA, PENNY ADAIWA KUNYWA SUMU
11 years ago
Habarileo06 Aug
Madereva wa mabasi, bajaj wasutana
WAMILIKI na madereva wa mabasi ya daladala mkoani Kigoma wamezitaka mamlaka zinazosimamia upangaji njia na vituo vya kushusha abiria kupangia bajaj maeneo yao, maalumu kuondokana na migongano iliyopo sasa.
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Mahiza awaonya wafugaji kuibiana
MKUU wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza amewaonya wafugaji mkoani hapa kuwapatia vijana wao ng’ombe wawapeleke malishoni kutokana na kuwepo kwa wimbi la kuibiana mifugo. Mahiza alitoa wito huo juzi...
11 years ago
Mwananchi25 Jun
KUTOKA ZANZIBAR: Wanawake na siasa zetu ni kisa cha tajiri na maskini?
10 years ago
VijimamboMWENYEKITI WA TAWI LA CCM NY BWANA SELF AKIDA AENDA KUTOA POLE NYUMBANI KWA BWANA KIBODYA.
Nyumbani kwa Bwana Isaac Kibondya akiongea na watu walioenda kumpa pole nyumbani kwake baada ya kufiwa na mkwe wake, Kifo kimetokea huko Tanzania siku ya Tarehe July, 16. Marehemu ni mzazi wa Mke wa Bwana Kibodya na Kama inakumbukwa wote walikuwa Tanzania kumuona marehemu akiwa anaumwa mwezi uliopita.
Mwenyekiti wa tawi la CCM New York bwana Seif Akida pamoja na Ny Ebra wote kutoka New York wakiwa nyumbani kwa bwana Kibodya Vail, Springfield. MA kutoa pole.
11 years ago
Dewji Blog25 Apr
WANAWAKE LIVE: Kisa cha Mustapha kunyanyaswa na mkewe, unafahamu alichokuwa anakitaka?
Mwendeshaji wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria.
Mustapha Manga katika mahojiano na Wanawake Live.
Je, umepata nafasi ya kufuatilia kisa hiki? Ni suala la kweli lililomkuta Mustapha ambaye analalamikia kunyanyaswa na mke wake. Joyce Kiria na Wanawake Live tulipata nafasi ya kufuatilia kwa undani suala hili na hapa, pata sehemu ya kwanza na ya pili ya mazungumzo kati ya Super Woman Joyce Kiria na Mustapha kisha na mke wake Mustapha kufahamu mustakabali mzima wa familia hii.
10 years ago
Mwananchi24 Dec
Tibaijuka: Bwana alitoa, bwana ametwaa