KISA BWANA, PENNY ADAIWA KUNYWA SUMU

Stori: MWANDISHI WETU/Risasi MTANGAZAJI maarufu Bongo na aliyekuwa mpenzi wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amedaiwa kunywa sumu kufuatia kunyang’anywa bwana na shosti yake aliyefahamika kwa jina la Diana. Mtangazaji maarufu Bongo na aliyekuwa mpenzi wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo26 Feb
Hausigeli afa kwa kunywa sumu
MFANYAKAZI wa ndani aliyetambuliwa kwa jina la Debora Makenda (18), amekufa baada ya kunywa sumu, ambayo ni dawa ya kuoshea mifugo.
10 years ago
Habarileo07 Jan
8 hoi kwa kunywa maziwa yenye sumu
WATU wanane wa familia tatu tofauti, wakiwemo wanafunzi wa shule ya msingi, wamelazwa katika Hospitali ya Misheni ya Malkia wa Ulimwengu Puma wilayani Ikungi mkoani hapa baada ya kunywa maziwa yanayodhaniwa kuwa na sumu.
11 years ago
CloudsFM30 Sep
WATU 270 WALAZWA KWA KUNYWA TOGWA ILIYOSADIKIWA KUWA NA SUMU
Watu zaidi ya 270 wa Kijiji cha Litapwasi, Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma wamelazwa wengi wao wakiwa na hali mbaya katika Zahanati ya Lyangweni na Hospitali ya Misheni ya St Joseph, Peramiho baada ya kunywa togwa inayosadikiwa kuwa na sumu.
Tukio hilo lilitokea juzi mchana kwenye sherehe ya Kipaimara kwa mtoto Dickson Nungu (14) na kuzua hofu kubwa kwa wakazi wa kijiji hicho ambao wanaonekana kutoamini kilichotokea.
Wingi wa wagonjwa hao umesababisha zahanati hiyo kuelemewa na kiasi cha...
11 years ago
GPL
BWANA WA WASTARA ADAIWA KUMPA MIMBA MHUDUMU
10 years ago
GPL
WOLPER ADAIWA KUPORA BWANA WA LUNGI, AJITETEA
10 years ago
GPL
WANAWAKE WASUTANA KISA KUIBIANA BWANA
10 years ago
GPL
AMANDA AGOMA KUMUANIKA BWANA KISA KUIBIWA
10 years ago
GPL
MUUMINI WA NABII MWINGIRA ADAIWA KUTELEKEZA MKE, KISA KAKATWA MGUU