Hausigeli afa kwa kunywa sumu
MFANYAKAZI wa ndani aliyetambuliwa kwa jina la Debora Makenda (18), amekufa baada ya kunywa sumu, ambayo ni dawa ya kuoshea mifugo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
‘Dada’ afa kwa kunywa dawa ya mifugo
MFANYAKAZI wa ndani, Debora Makanda (18), mkazi wa jijini Dar es Salaam, amefariki dunia juzi baada ya kunywa dawa ya kuoshea mifugo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura,...
10 years ago
Habarileo07 Jan
8 hoi kwa kunywa maziwa yenye sumu
WATU wanane wa familia tatu tofauti, wakiwemo wanafunzi wa shule ya msingi, wamelazwa katika Hospitali ya Misheni ya Malkia wa Ulimwengu Puma wilayani Ikungi mkoani hapa baada ya kunywa maziwa yanayodhaniwa kuwa na sumu.
10 years ago
CloudsFM30 Sep
WATU 270 WALAZWA KWA KUNYWA TOGWA ILIYOSADIKIWA KUWA NA SUMU
Watu zaidi ya 270 wa Kijiji cha Litapwasi, Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma wamelazwa wengi wao wakiwa na hali mbaya katika Zahanati ya Lyangweni na Hospitali ya Misheni ya St Joseph, Peramiho baada ya kunywa togwa inayosadikiwa kuwa na sumu.
Tukio hilo lilitokea juzi mchana kwenye sherehe ya Kipaimara kwa mtoto Dickson Nungu (14) na kuzua hofu kubwa kwa wakazi wa kijiji hicho ambao wanaonekana kutoamini kilichotokea.
Wingi wa wagonjwa hao umesababisha zahanati hiyo kuelemewa na kiasi cha...
10 years ago
GPLKISA BWANA, PENNY ADAIWA KUNYWA SUMU
9 years ago
Mtanzania10 Sep
89 hoi kwa kunywa juisi harusini
Na Editha Karlo, Kigoma
WAKAZI 89 wa Kijiji cha Rugunga, Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamelazwa katika hospitali ya wilaya hiyo, baada ya kunywa juisi ya kienyeji inayosadikiwa kuwa na sumu wakati wa sherehe ya harusi.
Tukio hilo limetokea Septemba 6, mwaka huu, baada ya watu hao kunywa juisi na kula chakula kilichoandaliwa katika sherehe hiyo.
Baada ya muda mfupi, waalikwa hao walianza kuumwa matumbo na kuharisha mfululizo hali iliyofanya kukimbizwa hospitali kwa ajili ya...
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Watu 270 walazwa kwa kunywa togwa
10 years ago
BBCSwahili20 Jun
Watu 74 wafariki kwa kunywa pombe India
10 years ago
BBCSwahili19 Jun
Watu 25 wafa kwa kunywa gongo India
11 years ago
GPLKAHAWA, CHAI: KUNYWA LAKINI KWA UANGALIFU!