Watu 25 wafa kwa kunywa gongo India
Watu 25 wamekufa katika mji wa Mumbai nchini India kutokana na kunywa pombe haramu aina ya gongo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV12 Jan
Watu zaidi ya 50 wafa kwa kunywa pombe Msumbiji.
Serikali nchini Msumbiji imetangaza siku tatu za maombolezo nchi nzima baada ya zaidi ya Watu 50 kupoteza maisha baada ya kunywa kilevi kinachoelezwa kuwa na sumu.
Watu hao walikunywa kilevi hicho wakiwa msibani.
Watu wengine kadhaa waliokunywa kinywaji hicho siku ya jumamosi walikimbizwa hospitalini.
bad credit installment loans in missouriMaafisa wanasema wanaamini kuwa kilevi hicho cha kienyeji kilichotengenezwa kwa mtama na mahindi kilikuwa na sumu ya nyongo ya mamba wakati...
10 years ago
BBCSwahili20 Jun
Watu 74 wafariki kwa kunywa pombe India
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Watu 270 walazwa kwa kunywa togwa
11 years ago
Dewji Blog01 Jun
Watu wawili mbaroni kwa kukutwa na pombe haramu ya Gongo lita 23
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Singida, SACP Geofrey Kamwela.
Na Nathaniel Limu, Singida
JESHI la Polisi mkoa wa Singida limefanikiwa kukamata watu wawili kwa tuhuma ya kumiliki lita 23 za pombe haramu ya gongo na mitambo sita ya kutengenezea pombe hiyo haramu.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Singida, SACP Geofrey Kamwela amesema Elitruda Omari (40) mkazi wa Karakana Singida mjini,amekamatwa akimiliki lita 15 za pombe haramu ya moshi na mitambo mitano ya kutengenezea pombe...
10 years ago
CloudsFM30 Sep
WATU 270 WALAZWA KWA KUNYWA TOGWA ILIYOSADIKIWA KUWA NA SUMU
Watu zaidi ya 270 wa Kijiji cha Litapwasi, Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma wamelazwa wengi wao wakiwa na hali mbaya katika Zahanati ya Lyangweni na Hospitali ya Misheni ya St Joseph, Peramiho baada ya kunywa togwa inayosadikiwa kuwa na sumu.
Tukio hilo lilitokea juzi mchana kwenye sherehe ya Kipaimara kwa mtoto Dickson Nungu (14) na kuzua hofu kubwa kwa wakazi wa kijiji hicho ambao wanaonekana kutoamini kilichotokea.
Wingi wa wagonjwa hao umesababisha zahanati hiyo kuelemewa na kiasi cha...
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Idhini ya daktari kunywa pombe India
11 years ago
BBCSwahili03 May
Watu 30 wafa kwa moto vitani Ukraine
10 years ago
BBCSwahili25 Aug
DRC: Watu wawili wafa kwa Ebola
10 years ago
BBCSwahili07 May
Watu nane wafa kwa mvua Dar es Salaam