Watu zaidi ya 50 wafa kwa kunywa pombe Msumbiji.
Serikali nchini Msumbiji imetangaza siku tatu za maombolezo nchi nzima baada ya zaidi ya Watu 50 kupoteza maisha baada ya kunywa kilevi kinachoelezwa kuwa na sumu.
Watu hao walikunywa kilevi hicho wakiwa msibani.
Watu wengine kadhaa waliokunywa kinywaji hicho siku ya jumamosi walikimbizwa hospitalini.
bad credit installment loans in missouriMaafisa wanasema wanaamini kuwa kilevi hicho cha kienyeji kilichotengenezwa kwa mtama na mahindi kilikuwa na sumu ya nyongo ya mamba wakati...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili12 Jan
Kilevi:Watu zaidi ya 50 wafa Msumbiji
10 years ago
BBCSwahili19 Jun
Watu 25 wafa kwa kunywa gongo India
10 years ago
BBCSwahili20 Jun
Watu 74 wafariki kwa kunywa pombe India
10 years ago
StarTV10 Jan
Mtoto afariki, Mama alazwa kwa kunywa pombe Singida
Na Emmanuel Michael,
Singida.
Suala la vinywaji ninavyodhaniwa kuwa na sumu limeendelea kuwa tishio kwa wakazi wa mkoa wa Singida baada ya mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja kufariki na mama yake mzazi kulazwa kwa matibabu baada ya kudaiwa kunywa pombe ya kienyeji inayodhaniwa kuwa na sumu.
Tukio hilo lililotokea katika Kijiji Kidama-Ikungi limekuja siku chache baada ya watu wengine wanane wa familia tatu tofauti kulazwa katika Hospitali ya Misheni ya Malikia wa Ulimwengu Puma mkoani humo kwa...
11 years ago
Mwananchi30 Sep
Watu 270 walazwa kwa kunywa togwa
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Idhini ya daktari kunywa pombe India
11 years ago
CloudsFM30 Sep
WATU 270 WALAZWA KWA KUNYWA TOGWA ILIYOSADIKIWA KUWA NA SUMU
Watu zaidi ya 270 wa Kijiji cha Litapwasi, Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma wamelazwa wengi wao wakiwa na hali mbaya katika Zahanati ya Lyangweni na Hospitali ya Misheni ya St Joseph, Peramiho baada ya kunywa togwa inayosadikiwa kuwa na sumu.
Tukio hilo lilitokea juzi mchana kwenye sherehe ya Kipaimara kwa mtoto Dickson Nungu (14) na kuzua hofu kubwa kwa wakazi wa kijiji hicho ambao wanaonekana kutoamini kilichotokea.
Wingi wa wagonjwa hao umesababisha zahanati hiyo kuelemewa na kiasi cha...
5 years ago
BBCSwahili27 May
'Baba alinifunza kunywa pombe na kuvuta sigara'
11 years ago
Bongo523 Sep
Kwanini hutakiwi kunywa pombe na bosi wako