Mtoto afariki, Mama alazwa kwa kunywa pombe Singida
Na Emmanuel Michael,
Singida.
Suala la vinywaji ninavyodhaniwa kuwa na sumu limeendelea kuwa tishio kwa wakazi wa mkoa wa Singida baada ya mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja kufariki na mama yake mzazi kulazwa kwa matibabu baada ya kudaiwa kunywa pombe ya kienyeji inayodhaniwa kuwa na sumu.
Tukio hilo lililotokea katika Kijiji Kidama-Ikungi limekuja siku chache baada ya watu wengine wanane wa familia tatu tofauti kulazwa katika Hospitali ya Misheni ya Malikia wa Ulimwengu Puma mkoani humo kwa...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania02 Apr
Mtoto afariki kwa kuchomwa na petroli,mama hoi
Na Shomari Binda, Musoma
JESHI la polisi mkoani Mara, linamsaka Simion Otieno,baada ya kudaiwa kuchoma nyumba kwa kutumia mafuta yaa petroli na kusababisha kifo cha mtoto,Tatu Simion (1).
Tukio hilo lililotokea Machi 31, mwaka huu katika Kijiji cha Bwai,wilayani Butiama ambapo chanzo chake kinadaiwa ni wivu wa mapenzi kati ya Otieno na mama wa mtoto huyo, Kudra Janja ambaye ameunguzwa vibaya mwili mzima.
Janja amelazwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara, kwa matibabu zaidi.
Akizungumza na...
10 years ago
BBCSwahili20 Jun
Watu 74 wafariki kwa kunywa pombe India
10 years ago
StarTV12 Jan
Watu zaidi ya 50 wafa kwa kunywa pombe Msumbiji.
Serikali nchini Msumbiji imetangaza siku tatu za maombolezo nchi nzima baada ya zaidi ya Watu 50 kupoteza maisha baada ya kunywa kilevi kinachoelezwa kuwa na sumu.
Watu hao walikunywa kilevi hicho wakiwa msibani.
Watu wengine kadhaa waliokunywa kinywaji hicho siku ya jumamosi walikimbizwa hospitalini.
bad credit installment loans in missouriMaafisa wanasema wanaamini kuwa kilevi hicho cha kienyeji kilichotengenezwa kwa mtama na mahindi kilikuwa na sumu ya nyongo ya mamba wakati...
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Idhini ya daktari kunywa pombe India
5 years ago
BBCSwahili27 May
'Baba alinifunza kunywa pombe na kuvuta sigara'
10 years ago
Bongo523 Sep
Kwanini hutakiwi kunywa pombe na bosi wako
11 years ago
Habarileo17 Feb
Marufuku kunywa pombe, kucheza pool saa za kazi - DC
MKUU wa Wilaya ya Lushoto, Majid Mwanga amepiga marufuku uuzaji na unywaji wa pombe na mchezo wa pool nyakati za asubuhi na muda wa kazi. Amesema hataki kuona vitendo vya starehe, vinavyofanywa na baadhi ya wananchi wakati wa saa kazi.