Mtoto afariki kwa kuchomwa na petroli,mama hoi
Na Shomari Binda, Musoma
JESHI la polisi mkoani Mara, linamsaka Simion Otieno,baada ya kudaiwa kuchoma nyumba kwa kutumia mafuta yaa petroli na kusababisha kifo cha mtoto,Tatu Simion (1).
Tukio hilo lililotokea Machi 31, mwaka huu katika Kijiji cha Bwai,wilayani Butiama ambapo chanzo chake kinadaiwa ni wivu wa mapenzi kati ya Otieno na mama wa mtoto huyo, Kudra Janja ambaye ameunguzwa vibaya mwili mzima.
Janja amelazwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara, kwa matibabu zaidi.
Akizungumza na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV10 Jan
Mtoto afariki, Mama alazwa kwa kunywa pombe Singida
Na Emmanuel Michael,
Singida.
Suala la vinywaji ninavyodhaniwa kuwa na sumu limeendelea kuwa tishio kwa wakazi wa mkoa wa Singida baada ya mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja kufariki na mama yake mzazi kulazwa kwa matibabu baada ya kudaiwa kunywa pombe ya kienyeji inayodhaniwa kuwa na sumu.
Tukio hilo lililotokea katika Kijiji Kidama-Ikungi limekuja siku chache baada ya watu wengine wanane wa familia tatu tofauti kulazwa katika Hospitali ya Misheni ya Malikia wa Ulimwengu Puma mkoani humo kwa...
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Anayedaiwa kuchomwa moto afariki dunia
9 years ago
Mtanzania10 Sep
Mtoto wa Wasira anusurika kuchomwa moto Bunda
Na Shomari Binda, Bunda
MGOMBEA ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Jimbo la Bunda Mjini, Ester Bulaya, amesema amemwokoa mtoto wa Waziri wa Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, aliyetaka kuchomwa moto ndani ya nyumba na wananchi kwa madai ya kugawa rushwa.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Bunda jana, Bulaya alisema mtoto huyo aliyejulikana kwa jina la Kambarage, alikumbana na mkasa huo juzi kwenye Kata ya Kunzugu eneo la Bukore.
Alisema Kambarage akiwa na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-fF5Jl8zq440/XoSBuWw3fOI/AAAAAAALlyA/7X6jzpcKqi8kGzFO0ruUuQBlm86SK77ZQCLcBGAsYHQ/s72-c/52395243_303.jpg)
MTOTO WA MIAKA 13 AFARIKI KWA CORONA UINGEREZA
MTOTO wa miaka 13 amefariki dunia nchini Uingereza mara baada ya kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona (Covid-19) hospitali King's College ya Mjini London na ndugu wa mtoto huyo wamevieleza vyombo vya habari.
Mtoto huyo raia wa Uingereza alifariki dunia siku ya Jumatatu ameelezwa kuwa ni muingereza mdogo zaidi kufariki kwa virusi hivyo.
Familia ya mtoto huyo imevieleza vyombo vya habari kuwa mtoto huyo (Ismail Mohamed Abdulwahab) alianza kuonesha...
10 years ago
Habarileo16 Nov
Padri aliyekuwa akitafutwa kwa kulawiti mtoto afariki
MTUHUMIWA wa kesi ya kulawiti mtoto wa kiume, aliyekuwa akitafutwa na Mahakama ya Rufaa, Sixtus Kimaro, ambaye alikutwa na tuhuma hizo wakati akiwa Padri katika Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, amefia nchini Msumbiji na mwili wake umesafirishwa kuja Dar es Salaam.