Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marufuku kunywa pombe, kucheza pool saa za kazi - DC

MKUU wa Wilaya ya Lushoto, Majid Mwanga amepiga marufuku uuzaji na unywaji wa pombe na mchezo wa pool nyakati za asubuhi na muda wa kazi. Amesema hataki kuona vitendo vya starehe, vinavyofanywa na baadhi ya wananchi wakati wa saa kazi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Watakaocheza pool saa za kazi kukiona

Mkuu wa Wilaya ya Babati mkoani Manyara, Crispian Meela amepiga marufuku mchezo wa pool saa za kazi na kuonya atakayekiuka agizo hilo, atamchukulia hatua kali za kisheria.

 

9 years ago

BBCSwahili

Idhini ya daktari kunywa pombe India

Licha ya jimbo la Gujarat India kupiga marufuku unywaji utengenezaji na unywaji pombe, takriban watu 60,000 wamepewa idhini ya kunywa pombe

 

5 years ago

BBCSwahili

'Baba alinifunza kunywa pombe na kuvuta sigara'

Fahamu maisha ya Anne yalivyokuwa baada ya kuwa mraibu wa pombe kupindukia alikorithishwa na baba yake mzazi.

 

10 years ago

Bongo5

Kwanini hutakiwi kunywa pombe na bosi wako

Ni sawa kunywa pombe na bosi wako? Kwa hali ya kawaida inaweza kuonekana ni vizuri na haina shida, hiyo ni nadharia tu.  Ukiingia kwa undani zaidi unaanza kumfahamu zaidi kwamba kuna kitu unatakiwa kukijua na kufikiri kwa makini. Unapovuka mipaka kwa kunywa bombe na bosi wako au kwenda sehemu maeneo ya starehe na yeye, unatengeneza […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 74 wafariki kwa kunywa pombe India

Wakaazi wa eneo la maskini la mjini Mumbai, India, wanaomboleza baada ya watu kadhaa kufa kutokana na pombe iliyokuwa na sumu.

 

10 years ago

StarTV

Watu zaidi ya 50 wafa kwa kunywa pombe Msumbiji.

Serikali nchini Msumbiji imetangaza siku tatu za maombolezo nchi nzima baada ya zaidi ya Watu 50 kupoteza maisha baada ya kunywa kilevi kinachoelezwa kuwa na sumu.

Watu hao walikunywa kilevi hicho wakiwa msibani.

Watu wengine kadhaa waliokunywa kinywaji hicho siku ya jumamosi walikimbizwa hospitalini.

bad credit installment loans in missouri

Maafisa wanasema wanaamini kuwa kilevi hicho cha kienyeji kilichotengenezwa kwa mtama na mahindi kilikuwa na sumu ya nyongo ya mamba wakati...

 

10 years ago

StarTV

Mtoto afariki, Mama alazwa kwa kunywa pombe Singida

Na Emmanuel Michael,

Singida.

Suala la vinywaji ninavyodhaniwa kuwa na sumu limeendelea kuwa tishio kwa wakazi wa mkoa wa Singida baada ya mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja kufariki na mama yake mzazi kulazwa kwa matibabu baada ya kudaiwa kunywa pombe ya kienyeji inayodhaniwa kuwa na sumu.

Tukio hilo lililotokea katika Kijiji Kidama-Ikungi limekuja siku chache baada ya watu wengine wanane wa familia tatu tofauti kulazwa katika Hospitali ya Misheni ya Malikia wa Ulimwengu Puma mkoani humo kwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Pombe kupigwa marufuku Bihar, India

Waziri mkuu wa jimbo la Bihar nchini India ,Nitish Kumar ametangaza mipango ya kupiga marufuku uuzaji na utumizi wa pombe katika jimbo hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahakama yazuia marufuku ya pombe India

Mahakama ya rufaa nchini India imezuia mpango wa jimbo la Kerala Kusini mwa nchi hiyo kupiga marufuku pombe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani