Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watakaocheza pool saa za kazi kukiona

Mkuu wa Wilaya ya Babati mkoani Manyara, Crispian Meela amepiga marufuku mchezo wa pool saa za kazi na kuonya atakayekiuka agizo hilo, atamchukulia hatua kali za kisheria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Marufuku kunywa pombe, kucheza pool saa za kazi - DC

MKUU wa Wilaya ya Lushoto, Majid Mwanga amepiga marufuku uuzaji na unywaji wa pombe na mchezo wa pool nyakati za asubuhi na muda wa kazi. Amesema hataki kuona vitendo vya starehe, vinavyofanywa na baadhi ya wananchi wakati wa saa kazi.

 

9 years ago

Vijimambo

DK MAGFUNGA KAZI MWANZA, RAIS KIKWETE ASEMA ATAKAYE FANYA FUJO IUCHAGUZI MKUU KUKIONA CHA MOTO

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akiwapungia  wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kuhitimisha  kampeni kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza jana. Dk Magufuli amefanya kampeni nchi nzima kwa barabara kwa kusafiri kwa magari  zaidi  ya Km 40.

Dk Magufuli amewaomba watanzania wote kumpigia kura za ndiyo katika uchaguzi mkuu unaofanyika leo ambapo yeye amesema atawalipa kwa kufanya kazi kwa bidii ili kuwaletea maendeleo Wanzania.PICHA ZOTE NA RICHARD...

 

11 years ago

Michuzi

WEZI WA KAZI ZA WASANII KUKIONA,KAMATA KAMATA YAANZA RASMI



 Kampuni ya Msama Promotions Ltd,kwa kushirikiana na Wizara ya habari vijana,utamaduni na michezo  imetangaza neema kwa wasanii kuanza zoezi la kuwakamata watu wanaouza nakala feki  za wasanii hapa nchini.
Mkurugenzi wa kampuni hiyo,Bwana  Alex Msama  amesema hayo jijini dar ,kuwa zoezi hilo limekwishaanza, na mpaka  sasa wamekamatwa vijana wane katika mkoa wa Dodoma na watatu jijini Mwanza.
‘’Kuna kazi mbalimbali ambazo zinaibiwa kila kukicha huku wamiliki wa kazi hizo wakiendelea  kushuka...

 

10 years ago

Habarileo

40 mbaroni kwa ulevi saa za kazi

WAKAZI 40 wa Tarafa ya Inyonga, Makao Makuu ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi wamekamatwa baada ya kukutwa wakinywa pombe asubuhi vilabuni na kwenye maduka yanayouza aina mbalimbali ya vinywaji.

 

11 years ago

Habarileo

DC Nzega akerwa na ‘ulevi’ saa za kazi

MKUU wa Wilaya ya Nzega, Bituni Msangi amepiga marufuku pombe na michezo mbalimbali nyakati zote za kazi ili wananchi wajikite katika uzalishaji mali hususan kilimo na kazi nyingine.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kufanya kazi kwa saa nyingi ni hatari

Utafiti umeeleza kuwa Watu wanaofanya kazi kwa saa nyingi wako hatarini kupata kiharusi

 

10 years ago

GPL

PANYA ROAD KWISHA KAZI! KOVA ALALA NJE SAA 120

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’
BAADA ya kuwakosesha amani wakazi wa Jiji la Dar es Salaam usiku wa Ijumaa iliyopita, lile kundi la vijana wahalifu linalojulikana kwa jina la Panya Road limefikia ukingoni baada ya kudhibitiwa kwa kasi kubwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Amani linakupa ‘full stori’. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova. Kundi hilo...

 

11 years ago

Michuzi

Wananchi waomba Kituo cha Afya Simambwe kufanya kazi saa 24

WANANCHI wa Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini wameiomba Serikali kusaidia kukiwezesha Kituo cha Afya Simambwe ili kifanye kazi saa 24 ili kuwasaidia muda wote wananchi wanaohudumiwa na kituo hicho hasa wajawazito.
Kauli za ombi hilo zimetolewa hivi karibuni kwa nyakati tofauti na wananchi hao walipokuwa wakizungumza na mwandishi wa habari hizi katika vijiji vyao alipowatembelea kuangalia changamoto anuai za huduma za kijamii vijijini Kata ya Tembela.
Mwenyekiti wa Kijiji cha...

 

10 years ago

Habarileo

Waziri Magufuli aagiza kivuko cha Kigongo-Busisi kufanya kazi saa 24

Dk John MagufuliWAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli ameagiza uongozi kivuko cha Kigongo- Busisi mkoani hapa, kufanya kazi kwa saa 24 ili kumudu ongezeko kubwa la abiria watokao Geita, Kagera lililotokana na meli ya Mv Victoria kusitisha safari zake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani