Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK MAGFUNGA KAZI MWANZA, RAIS KIKWETE ASEMA ATAKAYE FANYA FUJO IUCHAGUZI MKUU KUKIONA CHA MOTO

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akiwapungia  wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kuhitimisha  kampeni kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza jana. Dk Magufuli amefanya kampeni nchi nzima kwa barabara kwa kusafiri kwa magari  zaidi  ya Km 40.

Dk Magufuli amewaomba watanzania wote kumpigia kura za ndiyo katika uchaguzi mkuu unaofanyika leo ambapo yeye amesema atawalipa kwa kufanya kazi kwa bidii ili kuwaletea maendeleo Wanzania.PICHA ZOTE NA RICHARD...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Watakaovuruga uchaguzi ‘kukiona cha moto’

Polisi mkoani Morogoro, wamesema kikundi chochote cha watu kitakachojaribu kuvuruga uchaguzi wa leo wa Serikali za Mitaa, kitashughulikiwa ipasavyo ikiwamo kuchukuliwa hatua za kisheria. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Leonard Paulo alisema wamepokea taarifa za kuwapo kundi la watu waliopanga kuvuruga uchaguzi huo unaofanyika nchini kote leo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete kuwa Mgeni rasmi katika Kikao cha kazi cha Usimamizi na Uendeshaji wa Elimu Msingi

DSC_5259

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI Mhe. Hawa A. Ghasia akiwakaribisha wajumbe wa Kikao kazi cha Usimamizi na Uendeshaji wa Elimu Msingi kinachofanyika  katika ukumbi wa Chimwaga, Chuo Kikuu cha Dodoma kuanzia tarehe 01-03 Oktoba, 2014. Lengo la kikao hicho ni kuainisha Mafanikio na Changamoto katika utekelezaji wa Matokeo Makubwa Sasa katika Sekta ya Elimu.

Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI  kwa kushirikiana na Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo wameandaa kikao cha kazi kuhusu...

 

5 years ago

Michuzi

MADALALI NA WAENDESHA MINADA WASIOFUATA SHERIA KUKIONA CHA MOTO

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James, akifafanua kuhusu matumizi ya Mfumo wa Kieletroniki wa Utoaji Leseni za Udalalli na Uendeshaji wa Minada ya Hadhara Tanzania Bara (GAMIS Portal-Auctioneers License) baada ya kuuzindua, ambapo amewataka madadali wote wanatakiwa kuanza kuutumia  mfumo huo kuwasilisha maombi yao ya leseni ili wafanye biashara yao ya udalali kwa mujibu wa Sheria.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James, akizindua Mfumo wa Kieletroniki...

 

11 years ago

GPL

WANAOFANYA FUJO, UHARIBIFU VIWANJANI KUKIONA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linalaani vikali fujo na uharifu wa mali unaofanywa na washabiki viwanjani wakati mechi mbalimbali zikiwemo zile za kimataifa na ligi za hapa nchini. Tunaiomba radhi Serikali kwa uharibifu wa viti uliotokea kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga ya Tanzania na Al Ahly ya Misri iliyochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Uharibifu huo wa viti umesababisha hasara ya sh....

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE ATEUA MKUU MPYA MMOJA WA MKOA NA KUWAHAMISHA VITUO VYA KAZI WENGINE SITA

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS


Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.com

Website : www.ikulu.go.tz              

Fax: 255-22-2113425



PRESIDENT’S OFFICE,

      STATE HOUSE,

              1 BARACK OBAMA ROAD,  

11400 DAR ES SALAAM.

Tanzania.

  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mkuu Mpya mmoja wa Mkoa na kuwahamisha vituo vya kazi...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afungua Mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki jijini Mwanza

 Rais Kikwete akifungua Mkutano  wa siku tatu wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki unaofanyika katika Hoteli ya Malaika Beach Resort jijini Mwanza leo Seehemu ya washiriki wa Mkutano huo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na  washiriki wa mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki jijini Mwanza leo. Picha na Freddy Maro

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani