Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADALALI NA WAENDESHA MINADA WASIOFUATA SHERIA KUKIONA CHA MOTO

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James, akifafanua kuhusu matumizi ya Mfumo wa Kieletroniki wa Utoaji Leseni za Udalalli na Uendeshaji wa Minada ya Hadhara Tanzania Bara (GAMIS Portal-Auctioneers License) baada ya kuuzindua, ambapo amewataka madadali wote wanatakiwa kuanza kuutumia  mfumo huo kuwasilisha maombi yao ya leseni ili wafanye biashara yao ya udalali kwa mujibu wa Sheria.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James, akizindua Mfumo wa Kieletroniki...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAENDESHA BODABODA KINONDONI WAHIMIZWA KUFUATA SHERIA, WAKWAPUAJI SASA KUKIONA

Na Said Mwishehe,Michuzi TV
WAENDESHA wa usafiri Bodaboda wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam wametakiwa kufuata sheria katika kutoa huduma hiyo ya kubeba na kusafirisha abiria kutoka eneo moja kwenda jingine.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo amesema hayo wakati akizungumza na Michuzi Blog, ambapo amefafanua kuwa kuna kila sababu ya kuhakikisha waendesha bodaboda wanazingatia sheria kwani wale ambao watabainika kukiuka watachukuliwa hatua.
Hata hivyo amesema kwa sasa hali ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Watakaovuruga uchaguzi ‘kukiona cha moto’

Polisi mkoani Morogoro, wamesema kikundi chochote cha watu kitakachojaribu kuvuruga uchaguzi wa leo wa Serikali za Mitaa, kitashughulikiwa ipasavyo ikiwamo kuchukuliwa hatua za kisheria. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Leonard Paulo alisema wamepokea taarifa za kuwapo kundi la watu waliopanga kuvuruga uchaguzi huo unaofanyika nchini kote leo.

 

9 years ago

Vijimambo

DK MAGFUNGA KAZI MWANZA, RAIS KIKWETE ASEMA ATAKAYE FANYA FUJO IUCHAGUZI MKUU KUKIONA CHA MOTO

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akiwapungia  wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kuhitimisha  kampeni kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza jana. Dk Magufuli amefanya kampeni nchi nzima kwa barabara kwa kusafiri kwa magari  zaidi  ya Km 40.

Dk Magufuli amewaomba watanzania wote kumpigia kura za ndiyo katika uchaguzi mkuu unaofanyika leo ambapo yeye amesema atawalipa kwa kufanya kazi kwa bidii ili kuwaletea maendeleo Wanzania.PICHA ZOTE NA RICHARD...

 

9 years ago

Mwananchi

Wizara ya ardhi yaandaa sheria kuwabana madalali

Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesema imeanza mchakato wa kutengeneza muswada wa  Sheria ya mawakala wa ardhi  ili kuwabana madalali wa ardhi.

 

10 years ago

GPL

WAKUU WA SHULE WALIOZIFUNGA SHULE ZAO KIMAKOSA, KUKIONA CHA MOTO

Katibu mkuu wa Wizara ya Tamisemi Jumanne Sagini akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). Serikali…

 

10 years ago

Michuzi

WAVAMIZI NA WAMILIKI WA ARDHI KINYUME CHA SHERIA JIJINI DAR KUKIONA, KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Alphayo Kidata (kulia) bakitoa tathmini ya zoezi la bomoa bomoa awamu ya tatu linaloendelea katika Manispaa ya Kinondoni jana jijini la Dar es salaam.Kulia ni Muhandisi wa Manispaa ya Kinondoni Baraka Mkuya.Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Bw. Alphayo Kidata (hayupo pichani) alipokuwa akitoa tathmini ya zoezi la bomoa bomoa kwa wananchi waliovamia maeneo...

 

10 years ago

Habarileo

Wanaojichukulia sheria mkononi kukiona

MKUU wa Wilaya ya Magharibi Unguja, Ayoub Mohamed amesema Serikali ya Mkoa haitokubali kuwaachia wananchi kujichukulia sheria mikononi mwao na kukataa nyumba zao kupigwa dawa kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa malaria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani