Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKUU WA SHULE WALIOZIFUNGA SHULE ZAO KIMAKOSA, KUKIONA CHA MOTO

Katibu mkuu wa Wizara ya Tamisemi Jumanne Sagini akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). Serikali…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Ukosefu wa chakula shuleni, TAMISEMI yawalaumu Wakuu wa shule waliozifunga.

Na Gloria Matola

Dar Es Salaam

 

Serikali imewaagiza wakuu wa shule za sekondari katika mikoa ya Kagera, Kilimanjaro, Dodoma na Tabora waliozifunga shule kwa madai ya kukosa chakula kuzifungua kutokana na kupelekwa pesa kwa kila halmashauri ili kukidhi mahitaji ya chakula katika shule hizo.

 

Katibu mkuu wa Tawala za mikoa na serikali za mitaa Jumanne Sagini amesema Serikali imetenga shilingi billion 28.1 kwa kila Halmashauri kwa shule za sekondari za bweni kwaajili ya chakula ambapo hadi...

 

11 years ago

GPL

JHIKOMAN ATEMBELEA SHULE YA MUZIKI YA REUTLINGEN,UJERMANI : WANAFUNZI NA WAKUU WA SHULE WAAHIDI KUTEMBELEA BAGAMOYO ! KILA WAKATI

Darasa la muziki katika taasisi ya shule ya muziki Reutlingen,Ujerumani . Jhikoman akiwafundisha wanafunzi kutumia gitaa katika shule ya muziki Reutlingen.…

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGUFULI AHUDHURIA MAHAFALI YA KUMI YA KIDATO CHA SITA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA CHATO, AAHIDI MAJENGO YA KAMBI YA MKANDARASI KUWA MALI YA SHULE YA MAGUFULI

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mkoani Geita, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapongeza wanafunzi wa kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Chato wanaotarajiwa kuhitimu masomo yao mwezi ujao. Wanafunzi wa kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Chato Mkoani Geita wanaotarajiwa kuhitimu masomo yao mwezi ujao wakiimba wimbo maalum wa Shule hiyo katika Mahafali ya 10 shuleni hapo.

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mheshimiwa Dkt....

 

9 years ago

Mwananchi

RC awaonya wakuu wa shule

Serikali mkoani hapa imewaonya wakuu wa shule zote kuwa yeyote atakayebainika kuomba michango kwa wazazi itachukua hatua za kisheria.

 

9 years ago

Mwananchi

Wakuu 15 shule za wazazi matatani

Wakuu wa shule 15 zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya CCM, wako hatarini kuburuzwa mahakamani kutokana na tuhuma za ubadhirifu.

 

10 years ago

Mwananchi

Watakaovuruga uchaguzi ‘kukiona cha moto’

Polisi mkoani Morogoro, wamesema kikundi chochote cha watu kitakachojaribu kuvuruga uchaguzi wa leo wa Serikali za Mitaa, kitashughulikiwa ipasavyo ikiwamo kuchukuliwa hatua za kisheria. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Leonard Paulo alisema wamepokea taarifa za kuwapo kundi la watu waliopanga kuvuruga uchaguzi huo unaofanyika nchini kote leo.

 

10 years ago

Michuzi

KASIMU MAJARIWA AKIFUNGA MAFUNZO YA WAKUU WA SHULE BAGAMOYO

Naibu Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Kassim Majaliwa (katikati) pamoja ya Wakuu wa Shule za Sekondari za Serikali na Binafsi- walioshiriki mafunzo ya kuwajengea uwezo yanayoratibiwa na Wakala wa Maendeleo ya Uongozi na Usimamizi wa Elimu nchini ‘ADEM’ wilayani Bagamoyo, jana. Wakuu wa shule wakifuatilia nasaha za -Naibu Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Kassim Majaliwa, wakati...

 

5 years ago

Michuzi

WAKUU WA SHULE ENDELEENI KUDHIBITI MICHANGO HOLELA-MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Wadau wa Elimu wa Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, kwenye kikao cha maendeleo ya elimu, kilichofanyika katika ukumbi wa Narung’ombe, Machi 14, 2020.
Wadau wa Elimu wa Wilaya ya Ruangwa, wakipiga makofi, wakati wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kwenye kikao cha maendeleo ya elimu, kilichofanyika katika ukumbi wa Narung’ombe, Ruangwa, Lindi. Machi 14, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

………………………………………

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani