Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watakaovuruga uchaguzi ‘kukiona cha moto’

Polisi mkoani Morogoro, wamesema kikundi chochote cha watu kitakachojaribu kuvuruga uchaguzi wa leo wa Serikali za Mitaa, kitashughulikiwa ipasavyo ikiwamo kuchukuliwa hatua za kisheria. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Leonard Paulo alisema wamepokea taarifa za kuwapo kundi la watu waliopanga kuvuruga uchaguzi huo unaofanyika nchini kote leo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MADALALI NA WAENDESHA MINADA WASIOFUATA SHERIA KUKIONA CHA MOTO

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James, akifafanua kuhusu matumizi ya Mfumo wa Kieletroniki wa Utoaji Leseni za Udalalli na Uendeshaji wa Minada ya Hadhara Tanzania Bara (GAMIS Portal-Auctioneers License) baada ya kuuzindua, ambapo amewataka madadali wote wanatakiwa kuanza kuutumia  mfumo huo kuwasilisha maombi yao ya leseni ili wafanye biashara yao ya udalali kwa mujibu wa Sheria.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James, akizindua Mfumo wa Kieletroniki...

 

9 years ago

Vijimambo

DK MAGFUNGA KAZI MWANZA, RAIS KIKWETE ASEMA ATAKAYE FANYA FUJO IUCHAGUZI MKUU KUKIONA CHA MOTO

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akiwapungia  wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kuhitimisha  kampeni kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza jana. Dk Magufuli amefanya kampeni nchi nzima kwa barabara kwa kusafiri kwa magari  zaidi  ya Km 40.

Dk Magufuli amewaomba watanzania wote kumpigia kura za ndiyo katika uchaguzi mkuu unaofanyika leo ambapo yeye amesema atawalipa kwa kufanya kazi kwa bidii ili kuwaletea maendeleo Wanzania.PICHA ZOTE NA RICHARD...

 

10 years ago

GPL

WAKUU WA SHULE WALIOZIFUNGA SHULE ZAO KIMAKOSA, KUKIONA CHA MOTO

Katibu mkuu wa Wizara ya Tamisemi Jumanne Sagini akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). Serikali…

 

10 years ago

Mwananchi

Tamisemi: Waliovuruga uchaguzi sasa kukiona

Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), imeiagiza mikoa yote nchini kuwasilisha taarifa kuhusu kasoro zilizojitokea katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa juzi ili iwachukulie hatua watendaji watakaobainika kuhusika.

 

9 years ago

Mtanzania

Vyama vilivyozidisha bajeti ya uchaguzi kukiona

IMG_7284Patricia Kimelemeta na Grace  Shitundu

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, imevitaka vyama vya siasa vilivyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, kuwasilisha ripoti ya matumizi ya fedha zilizotumika  wakati wa kampeni, kulingana na matakwa ya Sheria ya Gharama za Uchaguzi.

Sheria hiyo imeweka viwango vya matumizi ya fedha, ambapo nafasi ya urais ni Sh bilioni 15, ubunge ni Sh milioni 33 hadi milioni 88 kulingana na jografia ya jimbo, huku nafasi ya udiwani ikiwa ni Sh milioni 2 hadi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani