Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tamisemi: Waliovuruga uchaguzi sasa kukiona

Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), imeiagiza mikoa yote nchini kuwasilisha taarifa kuhusu kasoro zilizojitokea katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa juzi ili iwachukulie hatua watendaji watakaobainika kuhusika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Waliovuruga uchaguzi Bunda wahojiwa siku 3

WATUMISHI kadhaa wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, wamehojiwa na vyombo vya ulinzi kwa siku tatu mfululizo kuanzia Jumatano iliyopita.

 

10 years ago

Habarileo

Waliovuruga uchaguzi mitaa kufukuzwa kazi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia akiongea na waandishi wa habari jana.SERIKALI imesema itachukua hatua kali ikiwemo kuwafukuza kazi, kuwavua madaraka, kuwashusha vyeo na kuwakata mishahara viongozi walioshindwa kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa na kusababisha kasoro na kuvurugika kwa uchaguzi huo katika baadhi ya maeneo nchini.

 

10 years ago

Michuzi

NAPE: WALIOVURUGA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA WAADHIBIWE.

Bofya video kumsikiliza Nape Nnauye akizungumza kuhusiana na waliovuruga uchaguzi wa Serikalo za Mitaa.  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari,leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kutoa tathmini ya matokeo ya awali uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika juzi nchini kote.Baadhi ya Wanahabari Wakimsikiliza  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alipokuwa akizungumza nao,leo katika Ofisi Ndogo ya...

 

10 years ago

Vijimambo

NAPE AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI LEO, ASEMA WALIOVURUGA UCHAGUZI WAADHIBIWE

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari, leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kutoa tathmini ya matokeo ya awali uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika juzi nchini kote.(PICHA NA BASHIR NKOROMONA BASHIR NKOROMO
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetaka watendaji wote waliosababisha kuharibika kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika baadhi ya maeneo nchini wachukuliwe hatua kali.

Kimesema, watendaji hao wanastahili...

 

10 years ago

Habarileo

Tamisemi sasa ‘yavuta’ vitanzi vya wakurugenzi

Kassim MajaliwaSIKU zinaanza kuhesabika kwa Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya na Manispaa kupata kibano, ikiwemo kuvuliwa nyadhifa iwapo watashindwa kutekeleza agizo la Rais la ujenzi wa maabara.

 

11 years ago

Mwananchi

Wachimba mchanga Dar sasa kukiona

Operesheni ya kuwakamata watu wanaochimba mchanga katika mito na vyanzo vingine vya maji katika maeneo mbalimbali jijini, inatarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa, baada ya kumalizika kwa kikao baina ya ofisi ya mkuu wa mkoa, polisi na wakurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, hivi karibuni.

 

10 years ago

Mwananchi

CAG: Wabadhirifu, mafisadi sasa kukiona

Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Jasper Nicholaus Mero amesema pamoja na pongezi ambazo Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi inapokea, wananchi wa kawaida wameonyesha kutoridhishwa na hatua zinazochukuliwa dhidi ya watu wanaobainika kufuja mali za umma, kutumia mamlaka yao vibaya kwa mujibu wa ripoti za CAG.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Tamisemi isisimamie uchaguzi’

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimependekeza Sheria ya Uchaguzi Serikali za Mitaa ibadilishwe ili uchaguzi huo usimamiwe na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) badala ya kusimamiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi).

 

9 years ago

Mwananchi

Atakayefungasha bidhaa kwa majani sasa kukiona

Wafanyabiashara wa matunda na mbogamboga wa Soko la Mawenzi la Manispaa ya  Morogoro mkoani hapa, wamepigwa marufuku kuingiza bidhaa hizo sokoni zikiwa na vifungashio vya majani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani