CAG: Wabadhirifu, mafisadi sasa kukiona
Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Jasper Nicholaus Mero amesema pamoja na pongezi ambazo Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi inapokea, wananchi wa kawaida wameonyesha kutoridhishwa na hatua zinazochukuliwa dhidi ya watu wanaobainika kufuja mali za umma, kutumia mamlaka yao vibaya kwa mujibu wa ripoti za CAG.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania13 Jul
Magufuli: Mafisadi kukiona
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli (55), amewaahidi Watanzania kuwa atawatumikia pasipo kujali itikadi zao za kisiasa na kwamba endapo atakuwa Rais, serikali yake haitavumilia wazembe, wala rushwa na wabadhirifu.
Akizungumza katika nyakati tofauti baada ya kuchaguliwa na Mkutano Mkuu wa CCM kuwa mgombea wa chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Magufuli alisema amepokea kitendo hicho kwa unyenyekevu mkubwa na kwamba hatawaangusha...
10 years ago
Dewji Blog27 Mar
Rais apokea Ripoti ya CAG na kuagiza hatua kali zichukuliwe kwa wabadhirifu wa fedha za Serikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameviagiza vyombo vya Serikali kubaini maofisa wote wa Serikali wanaohusishwa na matumizi mabaya ya fedha za Serikali, ikiwa ni pamoja na kutoa malipo bila nyaraka zozote, kutumia fedha nje ya Bajeti na kutoa malipo bila idhini ya ofisa masuhuli, ili wachukuliwe hatua kali za kisheria na hatua nyingine.
Aidha, Rais Kikwete ameagiza kuchukuliwa kwa hatua kali za kisheria kwa maofisa wote wa Serikali ambao wanahusika...
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Nyerere alipanda mazao, mafisadi sasa wanatafuna
11 years ago
Mwananchi30 May
Wachimba mchanga Dar sasa kukiona
10 years ago
Mwananchi16 Dec
Tamisemi: Waliovuruga uchaguzi sasa kukiona
9 years ago
Mwananchi08 Dec
Atakayefungasha bidhaa kwa majani sasa kukiona
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tI86ANTEaQA/XuDvGAa3OgI/AAAAAAALtYk/ZnyREOX6pRAEz0vI0WRcj1sx056E6rKrwCLcBGAsYHQ/s72-c/bodaboda.jpg)
WAENDESHA BODABODA KINONDONI WAHIMIZWA KUFUATA SHERIA, WAKWAPUAJI SASA KUKIONA
WAENDESHA wa usafiri Bodaboda wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam wametakiwa kufuata sheria katika kutoa huduma hiyo ya kubeba na kusafirisha abiria kutoka eneo moja kwenda jingine.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo amesema hayo wakati akizungumza na Michuzi Blog, ambapo amefafanua kuwa kuna kila sababu ya kuhakikisha waendesha bodaboda wanazingatia sheria kwani wale ambao watabainika kukiuka watachukuliwa hatua.
Hata hivyo amesema kwa sasa hali ya...
9 years ago
Dewji Blog06 Jan
CAG sasa kuwabana waajiri mikopo ya HESLB
Mkurugenzi Mtendaji – Bw. George Nyatega.
Na Mwandishi Wetu
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeanza kukagua taasisi za umma kuhusu utekelezaji wa matakwa ya sheria inayowataka kuwatambua waajiriwa walionufaika na mikopo ya elimu ya juu na kuwasilisha makato kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. George Nyatega, sheria iliyoanzisha HESLB inazitaka taasisi zzote za umma kuijulisha Bodi kwa maandishi...
11 years ago
Mwananchi12 May
CAG aendelea kuibua madudu, sasa HESLB