CAG aendelea kuibua madudu, sasa HESLB
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amebaini madudu ya Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ambapo mikopo ilitolewa ni kwa wanafunzi waliofeli mitihani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog06 Jan
CAG sasa kuwabana waajiri mikopo ya HESLB
Mkurugenzi Mtendaji – Bw. George Nyatega.
Na Mwandishi Wetu
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeanza kukagua taasisi za umma kuhusu utekelezaji wa matakwa ya sheria inayowataka kuwatambua waajiriwa walionufaika na mikopo ya elimu ya juu na kuwasilisha makato kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. George Nyatega, sheria iliyoanzisha HESLB inazitaka taasisi zzote za umma kuijulisha Bodi kwa maandishi...
10 years ago
Habarileo20 May
Ripoti ya CAG yaanika madudu
RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, imetolewa na kuwasilishwa bungeni jana huku ikiendelea kuibua madudu katika matumizi ya fedha.
11 years ago
Habarileo30 Mar
CAG apongezwa kwa kuondoa ‘madudu’
OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, imepongezwa kwa kufanya mabadiliko makubwa katika ukaguzi wa hesabu hizo, ukilinganisha na miaka ya nyuma. Imeelezwa kuwa huko nyuma, kulikuwa na matatizo makubwa katika hesabu za fedha za serikali. Kutokana na hali hiyo, CAG ametakiwa aendelee kutimiza majukumu yake kikamilifu.
10 years ago
Mtanzania20 May
RIPOTI YA CAG Ni madudu kila kona
Na Arodia Peter, Dodoma
RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeibua ufisadi mkubwa katika mamlaka za Serikali za mitaa,mashirika ya umma na serikali kuu.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutoa ripoti ya ukaguzi mjini Dodoma jana,Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad alisema ukaguzi huo umefanywa katika taasisi 176 za Serikali kuu, halmashauri 163 na mashirika ya umma 109.
Alisema usimamizi wa bajeti kwa mamlaka ya...
11 years ago
Mwananchi13 May
CAG aibua madudu Benki ya Posta
10 years ago
Mwananchi08 Nov
CAG: Wabadhirifu, mafisadi sasa kukiona
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/KCjDqGqyYH8/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima13 Jul
Barrick watakiwa kuibua vipaji
KAMPUNI ya African Barrick Gold Mine Ltd inayomiliki mgodi wa dhahabu wa Buzwagi wa mjini hapa, imetakiwa kuanzisha mashindano ya michezo kuibua vipaji kwa vijana. Wito huo ulitolewa juzi na...