CAG sasa kuwabana waajiri mikopo ya HESLB
Mkurugenzi Mtendaji – Bw. George Nyatega.
Na Mwandishi Wetu
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeanza kukagua taasisi za umma kuhusu utekelezaji wa matakwa ya sheria inayowataka kuwatambua waajiriwa walionufaika na mikopo ya elimu ya juu na kuwasilisha makato kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. George Nyatega, sheria iliyoanzisha HESLB inazitaka taasisi zzote za umma kuijulisha Bodi kwa maandishi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi12 May
CAG aendelea kuibua madudu, sasa HESLB
10 years ago
Mtanzania02 May
Serikali yaombwa kuwabana waajiri
Ramadhani Hassan na Pendo Mangala
WAFANYAKAZI Mkoa wa Dodoma wameishauri Serikali ihakikishe waajiri wanawaongezea mishahara kwa sababu malipo wanayolipwa sasa ni madogo.
Hayo yalisemwa jana na Katibu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Mkoa wa Dodoma, Ramadhani Mwenda, wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri.
Mwenda alisema kipato cha ujira wa mshahara wa mwezi hakitoshi na kwamba mishahara ya watumishi ni...
9 years ago
Habarileo17 Aug
WCF yaahidi kuwabana waajiri
MFUKO wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umeahidi kuwabana waajiri watakaochelewa kuwasilisha michango ya watumishi wao kwa kuwatoza faini ya Sh milioni 50 kama adhabu.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ho7RWhwBiVdd*KTT5cEIfagjqk61M9*RhAE4HTZ81CCmXzSqJGIuQtZGMtNNUW71fbJ56dns16VbrznQHmVnl5xUXfqaA3zt/1MENEJA.jpg?width=550)
PPF KUWABANA WAAJIRI WASIOWALIPIA WAFANYAKAZI
11 years ago
Mwananchi08 Jul
Mbinu mpya kuwabana wanaokwepa kurejesha mikopo
11 years ago
Habarileo01 Jul
Bodi ya Mikopo kuwashitaki waajiri
BODI ya Mikopo ya Elimu ya Juu nchini imepanga kuwachukulia hatua waajiri wote nchini, kwa kushindwa kuwasilisha taarifa za wahitimu wa elimu ya juu, wanaodaiwa na Bodi hiyo.
9 years ago
Habarileo23 Aug
Walionufaika na Mikopo HESLB watakiwa kuirejesha
SERIKALI imewataka waajiri wote na wanafunzi walionufaika na mikopo ya elimu ya juu, kurejesha ili Watanzania wengine wanaohitaji wanufaike na mikopo hiyo. Aidha, imesema itaendelea kuiwezesha Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kufanikisha shughuli zake ili wanafunzi wengi wapate mikopo.
9 years ago
Mwananchi10 Nov
Mikopo ya wanafunzi 40,836 tayari- HESLB
11 years ago
Habarileo17 Apr
HESLB waagizwa kudai fedha za mikopo
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetakiwa kuja na mbinu ya kuhakikisha wanaonufaika na mkopo wa elimu ya juu wanarejesha mkopo ili utumike kwa wanafunzi wengine hivyo kupunguza idadi ya wanafunzi wanaokosa mikopo hiyo.