Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WCF yaahidi kuwabana waajiri

MFUKO wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umeahidi kuwabana waajiri watakaochelewa kuwasilisha michango ya watumishi wao kwa kuwatoza faini ya Sh milioni 50 kama adhabu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Serikali yaombwa kuwabana waajiri

Ramadhani Hassan na Pendo Mangala
WAFANYAKAZI Mkoa wa Dodoma wameishauri Serikali ihakikishe waajiri wanawaongezea mishahara kwa sababu malipo wanayolipwa sasa ni madogo.
Hayo yalisemwa jana na Katibu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Mkoa wa Dodoma, Ramadhani Mwenda, wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri.
Mwenda alisema kipato cha ujira wa mshahara wa mwezi hakitoshi na kwamba mishahara ya watumishi ni...

 

11 years ago

GPL

PPF KUWABANA WAAJIRI WASIOWALIPIA WAFANYAKAZI

Meneja Huduma kwa Wateja na Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Bw. Godfrey Mollel akieleza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani). Stori: Mwandishi Wetu
MFUKO wa Pensheni (PPF) umesema kwamba endapo waajiri wa sekta mbalimbali waliojiunga na mfuko huo watashindwa kuwakilisha michango ya wafanyakazi wao kwa muda unaotakiwa hawatasita kuwachukulia hatua. Kauli hiyo ilitolewa na Meneja Huduma kwa Wanachama wa PPF,...

 

9 years ago

Dewji Blog

CAG sasa kuwabana waajiri mikopo ya HESLB

Mkurugenzi Mtendaji - Bw. George Nyatega (4)

Mkurugenzi Mtendaji – Bw. George Nyatega.

Na Mwandishi Wetu

Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeanza kukagua taasisi za umma kuhusu utekelezaji wa matakwa ya sheria inayowataka kuwatambua waajiriwa walionufaika na mikopo ya elimu ya juu na kuwasilisha makato kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).

Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. George Nyatega, sheria iliyoanzisha HESLB inazitaka taasisi zzote za umma kuijulisha Bodi kwa maandishi...

 

5 years ago

Michuzi

MADAKTARI WARIDHISHWA NA MAFUNZO WALIYOPATA KUTOKA WCF

Na mwandishi wetu, ArushaMADAKTARI waliokuwa wakishiriki mafunzo ya siku tano ya uelimishaji wa tathmini za ulemavu utokanao na ajali na magonjwa yatokanayo na kazi kutoka mikoa ya Kanda ya Kaskazini, wamefurahishwa na elimu waliyoipata na kwamba itasaidia kutenda haki kwa pande zote mbili, wanufaika na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF).
Mafunzo hayo yaliyoanza Juni 22, 2020 kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (AICC) jijini Arusha yaliandaliwa na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF)...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mfuko wa fidia kwa wafanyakazi (WCF), wakutana na wahariri, Dar

MKURUGENZI Mkuu wa kwanza wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Masha Mshomba, akiwasilisha mada wakati wa warsha iliyoandaliwa na Mfuko huo kwa Wahariri kwenye Hoteli ya Court Yard jijini Dar es Salaam, Julai 22, 2015

Na K-VIS MEDIA

MFUKO wa Fidia Kwa Wafanyakazi, (WCF), umekutana na Wahariri wa vyombo vya Habari nchini, kwenye Hoteli ya Court Yard jijini Dar es Salaam, Julai 22, 2015, kwa nia ya kujitambulisha na kuelezea mikakati yake ya kiutendaji na majukumu iliyo...

 

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI (WCF), WAKUTANA NA WAHARIRI, DAR ES SALAAM


 MKURUGENZI Mkuu wa kwanza wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Masha Mshomba, akiwasilisha mada wakati wa warsha iliyoandaliwa na Mfuko huo kwa Wahariri kwenye Hoteli ya Court Yard jijini Dar es Salaam, Julai 22, 2015
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, (SSRA), Irine Isaka, akifungua warsha hiyo Mhariri Shemax Ngahamera akizungumza kwenye warsha hiyo Mhariri wa vipindi wa ITV/Radio One, Steven Chuwa, (kulia), na Mhariri Mtendaji wa EFM, Scolastica Mazula,...

 

11 years ago

Mwananchi

RC Ruvuma kuwabana wabadhirifu

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu ameahidi kuwachukulia hatua watumishi na madiwani wa Halmashauri ya Mbinga ambao watabainika wamefanya ubadhirifu kwenye ununuzi na miradi ya maendeleo pindi atakapopewa ushahidi.

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, azindua bodi ya wadhamini mfuko wa fidia kwa wafanyakazi, WCF

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, (kulia), akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Masha Mshomba, wakati wakichukua nafasi zao kwenye uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko huo, jijini Dar es Salaam, Septemba 4, 2015. Waziri Kabaka alizindua bodi hiyo itakayoongozwa na Mwenyekiti wake,   Bw. Emmanuel Humba.

Waziri Kabaka akitoa hotuba ya uzinduzi wa Bodi hiyo.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Bw. Emmanuel Humba akipokea chati cha usajili wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani