Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yaombwa kuwabana waajiri

Ramadhani Hassan na Pendo Mangala
WAFANYAKAZI Mkoa wa Dodoma wameishauri Serikali ihakikishe waajiri wanawaongezea mishahara kwa sababu malipo wanayolipwa sasa ni madogo.
Hayo yalisemwa jana na Katibu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Mkoa wa Dodoma, Ramadhani Mwenda, wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri.
Mwenda alisema kipato cha ujira wa mshahara wa mwezi hakitoshi na kwamba mishahara ya watumishi ni...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

WCF yaahidi kuwabana waajiri

MFUKO wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umeahidi kuwabana waajiri watakaochelewa kuwasilisha michango ya watumishi wao kwa kuwatoza faini ya Sh milioni 50 kama adhabu.

 

11 years ago

GPL

PPF KUWABANA WAAJIRI WASIOWALIPIA WAFANYAKAZI

Meneja Huduma kwa Wateja na Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Bw. Godfrey Mollel akieleza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani). Stori: Mwandishi Wetu
MFUKO wa Pensheni (PPF) umesema kwamba endapo waajiri wa sekta mbalimbali waliojiunga na mfuko huo watashindwa kuwakilisha michango ya wafanyakazi wao kwa muda unaotakiwa hawatasita kuwachukulia hatua. Kauli hiyo ilitolewa na Meneja Huduma kwa Wanachama wa PPF,...

 

9 years ago

Dewji Blog

CAG sasa kuwabana waajiri mikopo ya HESLB

Mkurugenzi Mtendaji - Bw. George Nyatega (4)

Mkurugenzi Mtendaji – Bw. George Nyatega.

Na Mwandishi Wetu

Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeanza kukagua taasisi za umma kuhusu utekelezaji wa matakwa ya sheria inayowataka kuwatambua waajiriwa walionufaika na mikopo ya elimu ya juu na kuwasilisha makato kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).

Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. George Nyatega, sheria iliyoanzisha HESLB inazitaka taasisi zzote za umma kuijulisha Bodi kwa maandishi...

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali kuwabana waliohodhi viwanda, mashamba

Serikali imetoa siku 30 kwa wawekezaji walionunua viwanda na mashamba kuwasilisha mikataba yao kwenye Ofisi ya Msajili wa Hazina ili kuwabaini waliokiuka masharti.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali kuwabana madaktari inaowasomesha nje ya nchi

Serikali imesema madaktari wote watakaopata nafasi ya kusoma nje ya nchi kwa ufadhili wake, watafanya hivyo kwa kusaini mkataba.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yaombwa ruzuku Skauti

SERIKALI imeombwa kutenga bajeti maalumu itakayotolewa ruzuku kwa vijana Skauti nchini ikiwa ni hatua mojawapo ya kuwaandaa kuwa na uzalendo. Ombi hilo lilitolewa na Kamishina Mkuu Msaidizi Programu za VijanaSkauti,...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali sasa yaombwa kupunguza pembejeo

>Wakulima wa Kilimo cha Mbogamboga na Matunda wilayani Lushoto, mkoani Tanga, wameomba Serikali kuwapunguzia gharama za pembejeo za kilimo ili walime kisasa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yaombwa kusaidia chakula Ngorongoro

SERIKALI imeombwa kuchukua hatua za haraka kuhakikisha inasaidia wananchi waishio katika Tarafa ya Ngorongoro ambao hivi sasa wanakabiliwa na uhaba wa chakula na kuchangia mahudhurio duni ya wanafunzi shuleni. Ombi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Serikali yaombwa kutofunga misikiti Kenya

Hali imetulia mjini Mombasa baada ya ghasia kuzuka polisi walipovamia msikiti mmoja ambapo walidai kuwa vijana walikuwa wanapewa mafunzo ya itikadi kali za kiisilamu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani